Makabila mengine bwana!! Chukua hiyo

Ndo majina ya kiafrika banaaaaaa mwacha mila ni mtumwa na aachae asili si jasiri
 
Upondo, kimavi, ukuni, baya, ubaya, mapunda, n.k. Hiyo ndio asili yetu. Hebu fananisha na haya: woodgate, crouch, tanya - tafsiri zake zitakustua!
 
Makabila mengine wanakuwa wanamajina ya ajabu sana eti mtu anamzaa mtoto wake anamuita, sikuzani, sikupenda, sikujua, mnayenu, fitina, sijali, na wew tupia yako unayoyafahamu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kiwenini, Kufakunoga,Siwajibu, Siwema, n.k
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…