Makabila Maarufu Afrika

Kwishaaaa😁
😁,

Pokya lwekee wadu, lwenigyo mbeke kinnyo ,

Bibi anakuambia onja kidogo mume wangu, Age unaanza chekechea/kindergarten Ushaivaaaa , ukitumiwa kununua unapiga nusu Chibuku kwanza ,

Hapa zinazungumzwa utamaduni wa kazi, Nidhamu etc , haya ni ya siku nyingine
 

You have pin pointed it sir. They well deserved.
 
Ongeza Wachina. Huko Ghana πŸ‡¬πŸ‡­ Mchina katawazwa kuwa Chief wa kabila
 
Bwashee hayo ya pombe ndio chanzo cha uchakarikaji , pombe ndio inafanya akili izibuke uchakarike asee
 
Bwashee hayo ya pombe ndio chanzo cha uchakarikaji , pombe ndio inafanya akili izibuke uchakarike asee
Bibi alikuwa anasema siyo pombe ni shoonga/chakula ,
Ni kiburudisho, kama wao wana coca cola, Wanzuki,ulanzi, sisi baada ya kazi ilikuwa ni mbege na nyama, Ndizi , Stori nyingiii .

So hapa nilipo najua hadi kuiandaa Incase akiondoka amepass down hiyo pia, traditional farming methods, Diary cattle rearing etc ,
 

Umetoka za shule unatumwa na kidumu cha lita tano sio 🀣
 
I do deserve it , I'm
Proudly Chagga,

Title Kubwa Yenye realistic expectations kibao juu yake ,

Kazi tunayo kama Gen Z na millennials kufanya Yaliyo bora zaidi kushinda our Predecessors.

For sure Millennials na Gen Z tunakazi kubwa ya kumaintain hii status ya wazee wetu. Walifanya kazi kubwa sana kuweka misingi imara.
 
Mlima Kilimanjaro ndo umewapeperusha
 
Umetoka za shule unatumwa na kidumu cha lita tano sio 🀣
Nikifika mtoni nakunywa kama nusu Chibuku , Naongezea maji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,

Nikifika tuu namna nakabidhi anajua kuna kanamna anaimba songea hapa mume wangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ananifinya huku ananiambia kuwa mvumilivu ukifika si tunakunywa pamoja mmi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Igbo kikuyu na chagga ni makabila yenye mahusiano makubwa ya ki genetics

Kabisa kaka yaani ni ndugu hawa nenda kule Anambra, Kiambuu na Moshi kuna mahekalu na maendeleo ambayo hayapo kwenye majiji.

Wamesambaa dunia nzima na ni wazuri kwa biashara sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…