Makabila ambayo kitandani ni goigoi

Makabila ambayo kitandani ni goigoi

Kuna makabila jamani yako kama wale mawaziri mizigo wa CCM, yaani wanaume kwa wanawake kitandani goigoi. Unakuta mwanamke mweupe, sura nzuriiii, miguuu myembamba kama ya mbu wa dengue, kitandani hana mashamu shamu yoyote zaidi ya kusema YETHU NA MARIA, YAANI HATA MATHAWE HAFANYAGI HIII. Jamani mwenzenu huwa nakereka sana. Pia kuna wale wababe, unakuta wakati wa kumuandaa anakuuliza, UNANIRAMBARAMBA NINI, KWANI MI NDAMA? HEBU INGIZA NIKARIME. yaani kuna umuhimu wa kuthamini tendo la ndoa jamani na mjitoe akili na nafsi zenu kwa ajili ya tendo hili, msione aibu kujifunza kwa kuuliza na kusoma maandiko mbalimbali.
Ukisikia au ukikutana na mtu anayejadili ukabila kila siku ujue ni Msengerema!
 
katika makabira yote ,wanawake Wakiyao kiboko bwana ,usiombe kukutana nao,unaweza kujikuta unafukuzwa kazi hivi hivi kwa kuchelewa kazini kila siku.wanajishughurisha na wabunifu balaa .ipo haja kufundisha unyago mashuleni ,
 
Kuna makabila jamani yako kama wale mawaziri mizigo wa CCM, yaani wanaume kwa wanawake kitandani goigoi.
Unakuta mwanamke mweupe, sura nzuriiii, miguuu myembamba kama ya mbu wa dengue, kitandani hana mashamu shamu yoyote zaidi ya kusema YETHU NA MARIA, YAANI HATA MATHAWE HAFANYAGI HIII.
Jamani mwenzenu huwa nakereka sana.
Pia kuna wale wababe, unakuta wakati wa kumuandaa anakuuliza, UNANIRAMBARAMBA NINI, KWANI MI NDAMA? HEBU INGIZA NIKARIME.
yaani kuna umuhimu wa kuthamini tendo la ndoa jamani na mjitoe akili na nafsi zenu kwa ajili ya tendo hili, msione aibu kujifunza kwa kuuliza na kusoma maandiko mbalimbali.

I like your description. Wewe hautokuja kupata kesi ya defamation kama ukiendelea na utaalam huu wa kufikisha ujumbe kwa jamii!
 
katika makabira yote ,wanawake Wakiyao kiboko bwana ,usiombe kukutana nao,unaweza kujikuta unafukuzwa kazi hivi hivi kwa kuchelewa kazini kila siku.wanajishughurisha na wabunifu balaa .ipo haja kufundisha unyago mashuleni ,
Duh ndio maana kwao hamna maendeleo
 
jamani jamani mbona mnaonea wachaga tu..............au mlishapigwa chini ndo mnahamishia hasira huko
 
Asante kwakua balozi wa chagaz,wamezidi kutusakama hao kwakuangalia sehemu moja na kuacha mazuri mengi.

Hata hiyo moja ya kitandani siku hizi does not hold water kwa kuwa wengi wameshajifunza hata kupitia katika mitandao. Labda kama wanazungumzia wale wa miaka ya 47. Mchaga kwa sasa sidhani kama ana tofauti na mzaramo kwa kitandani sasa wao wako mbele zaidi kwa suala la maendeleo.
 
Nimekupenda bure baba angu

Karibu sana, penye ukweli tuseme bila kupepesa macho. Acha waogope kuwaoa ila sasa ninachoshangaa ndoa nyingi zinazofungwa Jumamosi nyingi mabinti ni wa kichaga full ana mchanganyiko wa kichaga. Sasa huwa najiuliza sana mtu anapokuja hapa kuwakandia wachaga!!! Maisha si kugegedana tu!! Laiti watu wangeuwa kuwa katika ndoa kinatawala maisha ya kimaendeleo kabisa na unaweza kupitisha hata wiki, mwezi hamjagegedana kabisa!!! Life style has changed a lot men!!
 
Ni kweli kabisa ila umekosea tu kugeneralise wachagga wote kwani kuna wamachame bhana,Hawazoeleki wale.
Ha ha ha!!! Kweli mkuu hata mimi pamoja na kuoa huko lakini wamachame hawazoeleki!!! Wanawake kama wanaume vile!!! Basi kuna shemeji yangu ali loose step akawa anaishi na mwanamke wa kimachame na kuzaa watoto wawili. Alipopeleka issue nyumbani kufunga ndoa basi alikataliwa kata kata hadi leo hawajafunga ndoa kabisa!!! Wachaga wenyewe wanaogopa machame!!! Sijajua sana undani ni kwa nini hasa.
 
Halaf wachaga wengi papuchi zao znanuka sn jaman

Mhhhhhhhhh hebu fafanua!!! Mbona wachaga ni wasafi sana nje na ndani? Sifa ya usafi wanayo na maumba yao ni masafi sana!!! Anyway, labda ulikutana na bahati mbaya maana siku zote si Alhamis!!
 
Kuna makabila jamani yako kama wale mawaziri mizigo wa CCM, yaani wanaume kwa wanawake kitandani goigoi.
Unakuta mwanamke mweupe, sura nzuriiii, miguuu myembamba kama ya mbu wa dengue, kitandani hana mashamu shamu yoyote zaidi ya kusema YETHU NA MARIA, YAANI HATA MATHAWE HAFANYAGI HIII.
Jamani mwenzenu huwa nakereka sana.
Pia kuna wale wababe, unakuta wakati wa kumuandaa anakuuliza, UNANIRAMBARAMBA NINI, KWANI MI NDAMA? HEBU INGIZA NIKARIME.
yaani kuna umuhimu wa kuthamini tendo la ndoa jamani na mjitoe akili na nafsi zenu kwa ajili ya tendo hili, msione aibu kujifunza kwa kuuliza na kusoma maandiko mbalimbali.

*************************

Wewe hebu kuwa mstaarabu....Usipende kuingilia makabila ya watu..Inaelekea wewe utakuwa ni dogo tena dogo sana ndio wanakuwa na maneno ambayo hawayachuji wala hawafikirii lakuongea....Unatakiwa mambo mengine uyaache usubirie ukikua utaongea
 
Ha ha ha!!! Kweli mkuu hata mimi pamoja na kuoa huko lakini wamachame hawazoeleki!!! Wanawake kama wanaume vile!!! Basi kuna shemeji yangu ali loose step akawa anaishi na mwanamke wa kimachame na kuzaa watoto wawili. Alipopeleka issue nyumbani kufunga ndoa basi alikataliwa kata kata hadi leo hawajafunga ndoa kabisa!!! Wachaga wenyewe wanaogopa machame!!! Sijajua sana undani ni kwa nini hasa.

***********
Ya kaisare muachie Kaisare dont question abt some issues ...We ikifikia muda wako wa kuoa chagua wako na sikiliza familia yako...Ila usiongelee wengine....Wako waliooa wamachame na wakaishi nao, wako ambao wameoa na hawakuishi nao...Kila shetani na mbuyu wake...

Wakati unapoingia kwenye suala la Kuzungumzia makabila kuweni makini sana....Kumbukeni JF inatumiwa na watu wengi sana...Kila mmoja yupo huru kuzungumza la kwake, na nirahisi sana kuweza kuchochea hasira, ubaguzi miongoni mwa watu kwa dakika chache...

Sisi ni Watu wamoja...Tanzania hatuna ukabila....Tuzungumzie tabia za watu binafsi tusitaje Kabila...Bora kuzungumzia Taifa kwa taifa lkn sio kabila coz sisi ni Watanzania (Watoto wa baba mmoja)
 
Amen. Na wote tuseme Amen. Na iwe hivyo milele!!! Ujumbe umefika hasa ufike zaidi kule Jukwa la Siasa cc Msalani, Chama, ZeMarcopolo, Chris Lukosi, Chabruma, FazaFoxy ... etc...etc
 
Back
Top Bottom