Makabila ambayo kitandani ni goigoi

Makabila ambayo kitandani ni goigoi

looo kweli wewe wa mwakaleli aiseeeee niletee ndizi wangu
 
hivi hadi karne hii watu mna'link kabila na ubunifu kitandani????? maana kuna mtu ni mchagga lakini amekulia kwa wazaramo and vice versa..... hayo ni mambo ya mtu binafsi na utashi wake

Ni kweli mkuu naunga mkono hoja.
 
Si useme tu umelenga wachaga sasa mama?? Sasa nikuambie kuwa wachaga wa leo si wale uliokuwa unawafikiria!!! Na mchaga wa leo akikukamatia mumeo humpati tena ninakuambia kwa sababu kwanza mapenzi wameshayajua sana, ni wachapakazi, ni wapishi wazuri nyumbani, ni watunzaji wa familia vizuri hasa malezi kwa watoto, si tegemezi nikimaanisha kuwa wanajishughulisa nivyo hela ndogondogo za matumizi yao haziwapigi chenga!!! Sasa nioe mtaalam wa kitandani huku kila siku ananipiga mizinga ni ya nini!!! Mchaga kitu eti kila upande wako poa sana!!! Ukioa mchaga jua familia yako imetulia tuli hata homework za watoto wanafuatilia na vikao vya shule yaani acha kabisa!! Mahusiano mazuri ni zaidi ya kukatika mauno kitandani!!! Wanaume tunataka mama wa watoto tofauti na fundi kitandani!!!!

Ni kweli kabisa ila umekosea tu kugeneralise wachagga wote kwani kuna wamachame bhana,Hawazoeleki wale.
 
Kuna thread nyingine ni michosho tu. Tunavumilia maana kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni. Sidhani kama hata hao wa vijijini wana tabia hizo. Story na utani wa vijiweni mtu analeta hapa kama kitu halisi.

Sio michosho mkuu,kiukweli mtoa mada amezidisha kidogo kwa kusema sijui "hata mathawe hafanyagi hivi" ila in reality mimi nina experience ya wachagga wa3 nliokuwa nao,just imagine hata siku 1 dem hajawahi kuanza yeye kuniambia ana hamu ya mgegedo then hata nikianza kumwambia mimi tukiingia chumbani ananiambia "Tunatumia muda gani coz nina haraka eti" ni zaidi ya mara 2 hii inatojea na nikijaribu kumbembeleza hataki kusikia anabak na msimamo wake na mnaweza hata kugombana kwani anaanza ubabe sasa,na huwa hawajishuhulishi kwny kitanda mazee,Ila simaanishi kuwa ni wote,sikuhiz watu wanabadilika.kuhusu ujasiriamali 100%...
 
Nilisha piga marufuku mada za kudhalilisha wachaga humu jukwaani.
Mbona dada yako ni zigo sisemi?
Wachaga wako vizuri na soko lao liko juu.
Wanapata wachumba, wanaolewa, wanapata watoto, wanatunza familia mume na watoto, wanailetea familia maendeleo. Wew ulitakaje?

Bora umenena
 
Achen,kabisa kucoment wachaga kabisa,tunajua mapenzi,malezi,kubembeleza,yan mnashindwa kutambua na ukikamatwa na mchaga tambua utachomoka,hayo mambozi,wote mnaobisha hamjala penzi la mchaga,acheni porojo ndo nyie wa kufia vifuani mwetu,khaaah chezea mchaga wewe?
 
asante sana waambie mkuu watu wamezid kila siku kuwa wachaga ni wavivu cijui tatizo ni nini
be blessed

Wachagga si wavivu katika utafutaji,ujasiriamali na mambo ya kiuchumi mkuu na hicho ndicho nnachowapendea na kuwakubali labda ukizungumzia uvivu mwingine nakiri kabisa ni wavivu hasa kitandani na nitamfundisha ikiwa nampenda na ukizingatia ni mke wangu,Tatizo kubwa tuu nililoexperience na linanikera sana kwa baadhi ya wachagga ni UBABE KWA WANAUME,yaani unakuta hata mwanaume ukisuggest kitu cha maana anaweza akakupinga tu na kukudharau,na zaidi ni akiwa msomi...aicee utaipata haswaa,ila ukiwa na hela at least itapunguza mushkeri,kwa mambo mengine wako poa sana,they are Aggressive,hardworkers n wengi wanajitambua.
 
Kwa kuzingatia ule usemi wa ukweli unauma nataka kuamini yaliyosemwa na mto uzi..maana mmhh mapovu yamewatoka..ni mtazamo wangu tu.
 
Back
Top Bottom