sawa kabisa,........... hyuy jamaa ni famba
Shikamoo kichoi, yaani niseme tu wadogo zangu wawili walioa wachaga baada ya kuona mimi mke wangu. Ni mmoja tu alioa kabila lingine na alikuwa na mtu wake wa kichaga sema ikatokea akachepua mimba ikatokea so tukaona ni bora mwanae asiitwe wa kambo. Vinginevyo nyumba nzima ilikuwa ni wachaga full. Wadogo zangu wa kike watatu mmoja kakamata mchaga wa mwika, mwingine kakamata msukuma na wa tatu hopeful itakuwa chaga again wako katika final stages. Lord is God!! Tunaomba wachaga mtupe ardhi full tujenge.
siyo hasira wanatuona sisi hatujui we ngoja sasa naanza mmoja mmoja hapa
kavurugwa matatizo ya kutumia bangi mchana
Nipo nawe, hawawezi kuwadhalilisha nikae kimya.
Nafikiria niwape adhabu gani wakome.
Kuna makabila jamani yako kama wale mawaziri mizigo wa CCM, yaani wanaume kwa wanawake kitandani goigoi.
Unakuta mwanamke mweupe, sura nzuriiii, miguuu myembamba kama ya mbu wa dengue, kitandani hana mashamu shamu yoyote zaidi ya kusema YETHU NA MARIA, YAANI HATA MATHAWE HAFANYAGI HIII.
Jamani mwenzenu huwa nakereka sana.
Pia kuna wale wababe, unakuta wakati wa kumuandaa anakuuliza, UNANIRAMBARAMBA NINI, KWANI MI NDAMA? HEBU INGIZA NIKARIME.
yaani kuna umuhimu wa kuthamini tendo la ndoa jamani na mjitoe akili na nafsi zenu kwa ajili ya tendo hili, msione aibu kujifunza kwa kuuliza na kusoma maandiko mbalimbali.
hivi wewe mleta mada wachaga tu ndo magoi goi kitandani usinifanye niende mbali nikataka tufanye practical afu ulete mrejesho hapo acha kabisa
asante sana waambie mkuu watu wamezid kila siku kuwa wachaga ni wavivu cijui tatizo ni nini
be blessed
WACHAGA WACHAGA WACHAGA KIRUUUU
mti unaotupiwa mawe una matunda mazuri n matamu hayo makabila uliyoyatolea mfano wapo juu
jaribu uchagani kam hujaacha michepuko yooote
hivi ugoigoi ni kabila kumbe
hahaha i will be ready kugharamia gharama zote za practical.i cant wait for it.
hivi wewe mleta mada wachaga tu ndo magoi goi kitandani usinifanye niende mbali nikataka tufanye practical afu ulete mrejesho hapo acha kabisa
Umekariri....
Si useme tu umelenga wachaga sasa mama?? Sasa nikuambie kuwa wachaga wa leo si wale uliokuwa unawafikiria!!! Na mchaga wa leo akikukamatia mumeo humpati tena ninakuambia kwa sababu kwanza mapenzi wameshayajua sana, ni wachapakazi, ni wapishi wazuri nyumbani, ni watunzaji wa familia vizuri hasa malezi kwa watoto, si tegemezi nikimaanisha kuwa wanajishughulisa nivyo hela ndogondogo za matumizi yao haziwapigi chenga!!! Sasa nioe mtaalam wa kitandani huku kila siku ananipiga mizinga ni ya nini!!! Mchaga kitu eti kila upande wako poa sana!!! Ukioa mchaga jua familia yako imetulia tuli hata homework za watoto wanafuatilia na vikao vya shule yaani acha kabisa!! Mahusiano mazuri ni zaidi ya kukatika mauno kitandani!!! Wanaume tunataka mama wa watoto tofauti na fundi kitandani!!!!
Hahahaha Fanya practical mama afu mrejeshe majibu
hivi wewe mleta mada wachaga tu ndo magoi goi kitandani usinifanye niende mbali nikataka tufanye practical afu ulete mrejesho hapo acha kabisa