Makabila ambayo kitandani ni goigoi

Makabila ambayo kitandani ni goigoi

Mipanyapanya by Nature
Sax_1448658i.jpg

Ha ha hahahaaaaa...! haya wamakonde jengeni hoja hapa
 
Mkuu nilioa mchaga miaka hiyo and she is the best in everything. wadogo zangu wawili wakaoa huko baada ya kuona kwangu mambo murua, dada yangu kaolewa huko, na mwingine wako njiani hope watakamilisha. Sina kinyongo na wachaga kwa kila kitu, wife kwa mashindano hakuna wa kumtoa. Mkuu mke wako ni sehemu yako hata kama kuna vitu hafahamu mnaelimishana tu. Ndiyo maana kuna honey moon etc ni kuweka pia mambo sawa kama mlikua mnaoneana aibu wakati wa uchumba. Sasa fight on the bed si ya kila upande so mfundishe mashanturi tu ataelewa.

Uko vizuri kaka.
 
kiukweli wanawake wa kichaga ni sawa na magogo kunako six by six, u nid to change!!
 
Si useme tu umelenga wachaga sasa mama?? Sasa nikuambie kuwa wachaga wa leo si wale uliokuwa unawafikiria!!! Na mchaga wa leo akikukamatia mumeo humpati tena ninakuambia kwa sababu kwanza mapenzi wameshayajua sana, ni wachapakazi, ni wapishi wazuri nyumbani, ni watunzaji wa familia vizuri hasa malezi kwa watoto, si tegemezi nikimaanisha kuwa wanajishughulisa nivyo hela ndogondogo za matumizi yao haziwapigi chenga!!! Sasa nioe mtaalam wa kitandani huku kila siku ananipiga mizinga ni ya nini!!! Mchaga kitu eti kila upande wako poa sana!!! Ukioa mchaga jua familia yako imetulia tuli hata homework za watoto wanafuatilia na vikao vya shule yaani acha kabisa!! Mahusiano mazuri ni zaidi ya kukatika mauno kitandani!!! Wanaume tunataka mama wa watoto tofauti na fundi kitandani!!!!

Nimekupenda bure baba angu
 
Shikamoo kichoi, yaani niseme tu wadogo zangu wawili walioa wachaga baada ya kuona mimi mke wangu. Ni mmoja tu alioa kabila lingine na alikuwa na mtu wake wa kichaga sema ikatokea akachepua mimba ikatokea so tukaona ni bora mwanae asiitwe wa kambo. Vinginevyo nyumba nzima ilikuwa ni wachaga full. Wadogo zangu wa kike watatu mmoja kakamata mchaga wa mwika, mwingine kakamata msukuma na wa tatu hopeful itakuwa chaga again wako katika final stages. Lord is God!! Tunaomba wachaga mtupe ardhi full tujenge.

Asante kwakua balozi wa chagaz,wamezidi kutusakama hao kwakuangalia sehemu moja na kuacha mazuri mengi.
 
Back
Top Bottom