Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
you are happy of what?? nishirikishe basi? if its posisble au mmefikia muafaka?ndiyo leo am happy sana
you are happy of what?? nishirikishe basi? if its posisble au mmefikia muafaka?ndiyo leo am happy sana
you are happy of what?? nishirikishe basi? if its posisble au mmefikia muafaka?
Mwenzako anazungumza mambo ya Ngono ...we unazungumza tabia. Mwenzako anataka kuoa kahaba manake hao ndio mafundi kuliko hata watu wa kawaida.Ha ha ha!!! Kweli mkuu hata mimi pamoja na kuoa huko lakini wamachame hawazoeleki!!! Wanawake kama wanaume vile!!! Basi kuna shemeji yangu ali loose step akawa anaishi na mwanamke wa kimachame na kuzaa watoto wawili. Alipopeleka issue nyumbani kufunga ndoa basi alikataliwa kata kata hadi leo hawajafunga ndoa kabisa!!! Wachaga wenyewe wanaogopa machame!!! Sijajua sana undani ni kwa nini hasa.
hivi wewe mleta mada wachaga tu ndo magoi goi kitandani usinifanye niende mbali nikataka tufanye practical afu ulete mrejesho hapo acha kabisa
hivi wewe mleta mada wachaga tu ndo magoi goi kitandani usinifanye niende mbali nikataka tufanye practical afu ulete mrejesho hapo acha kabisa
Siamini kama ni mimi ninayesoma hii maneno....hivi wewe mleta mada wachaga tu ndo magoi goi kitandani usinifanye niende mbali nikataka tufanye practical afu ulete mrejesho hapo acha kabisa
Kuna ushauri uliwahi kutolewa hapa kwa wanawake walioolewa kwamba wakitaka ndoa zao zidumu wafanye tendo la ndoa na waume zao kama makahaba, na siyo kila siku kifo cha mende watachokwa.Mwenzako anazungumza mambo ya Ngono ...we unazungumza tabia. Mwenzako anataka kuoa kahaba manake hao ndio mafundi kuliko hata watu wa kawaida.
Si useme tu umelenga wachaga sasa mama?? Sasa nikuambie kuwa wachaga wa leo si wale uliokuwa unawafikiria!!! Na mchaga wa leo akikukamatia mumeo humpati tena ninakuambia kwa sababu kwanza mapenzi wameshayajua sana, ni wachapakazi, ni wapishi wazuri nyumbani, ni watunzaji wa familia vizuri hasa malezi kwa watoto, si tegemezi nikimaanisha kuwa wanajishughulisa nivyo hela ndogondogo za matumizi yao haziwapigi chenga!!! Sasa nioe mtaalam wa kitandani huku kila siku ananipiga mizinga ni ya nini!!! Mchaga kitu eti kila upande wako poa sana!!! Ukioa mchaga jua familia yako imetulia tuli hata homework za watoto wanafuatilia na vikao vya shule yaani acha kabisa!! Mahusiano mazuri ni zaidi ya kukatika mauno kitandani!!! Wanaume tunataka mama wa watoto tofauti na fundi kitandani!!!!
Kuna makabila jamani yako kama wale mawaziri mizigo wa CCM, yaani wanaume kwa wanawake kitandani goigoi.
Unakuta mwanamke mweupe, sura nzuriiii, miguuu myembamba kama ya mbu wa dengue, kitandani hana mashamu shamu yoyote zaidi ya kusema YETHU NA MARIA, YAANI HATA MATHAWE HAFANYAGI HIII.
Jamani mwenzenu huwa nakereka sana.
Pia kuna wale wababe, unakuta wakati wa kumuandaa anakuuliza, UNANIRAMBARAMBA NINI, KWANI MI NDAMA? HEBU INGIZA NIKARIME.
yaani kuna umuhimu wa kuthamini tendo la ndoa jamani na mjitoe akili na nafsi zenu kwa ajili ya tendo hili, msione aibu kujifunza kwa kuuliza na kusoma maandiko mbalimbali.

okey sio kila ushauri una mashiko ndani yake. Ushauri mwingine upo katika kupandikiza roho ya Ukahaba katika Jamii.Kuna ushauri uliwahi kutolewa hapa kwa wanawake walioolewa kwamba wakitaka ndoa zao zidumu wafanye tendo la ndoa na waume zao kama makahaba, na siyo kila siku kifo cha mende watachokwa.
Nitautafuta ule uzi nikutumie link.
Siamini kama ni mimi ninayesoma hii maneno....
Hakujui huyo, kuwa wee nouma.....mimi najua hilo!
wewe mimi nikijiongeza itakkuwa hatari hapa ndo saize yenu ,... nikiongeza kidogo tu mtanifia kifuaniHa ha ha, inaonekana inakuttach sana hii....ila jiongezeni bana, maana kila mtu aliyemeet na mchaga analeya same feedback.
Sent from my iPhone using JamiiForums app