Makabila ambayo kitandani ni goigoi

Makabila ambayo kitandani ni goigoi

hivi hadi karne hii watu mna'link kabila na ubunifu kitandani????? maana kuna mtu ni mchagga lakini amekulia kwa wazaramo and vice versa..... hayo ni mambo ya mtu binafsi na utashi wake

Kuna thread nyingine ni michosho tu. Tunavumilia maana kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni. Sidhani kama hata hao wa vijijini wana tabia hizo. Story na utani wa vijiweni mtu analeta hapa kama kitu halisi.
 
Si useme tu umelenga wachaga sasa mama?? Sasa nikuambie kuwa wachaga wa leo si wale uliokuwa unawafikiria!!! Na mchaga wa leo akikukamatia mumeoe humpati tena ninakuambia kwa sabaubu kwanza mapenzi wameshayajua sana, ni wachapakazi, ni wapishi wazuri nyumbani, ni watunzaji wa familia vizuri hasa malezi kwa watoto, si tegemezi nikimaanisha kuwa wanajishughulisa nivyo hela ndogondogo za matumizi yao haziwapigi chenga!!! Sasa nioe mtaalam wa kitandani huku kila siku ananipiga mizinga ni ya nini!!! Mchaga kitu eti kila upande wako poa sana!!! Ukioa mchaga jua familia yako imetulia tuli hata homework za watoto wanafuatilia na vikao vya shule yaani acha kabisa!! Mahusiano mazuri ni zaidi ya kukatika mauno kitandani!!! Wanaume tunataka mama wa watoto tofauti na fundi kitandani!!!!

Nimeipenda hii hasa kujali watoto na mapishi.
 
Either umekariri au una utani na hayo makabila hapo.
 
Kuna thread nyingine ni michosho tu. Tunavumilia maana kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni. Sidhani kama hata hao wa vijijini wana tabia hizo. Story na utani wa vijiweni mtu analeta hapa kama kitu halisi.

umeona eeh ni uhuru wa maoni lakini si lazima kuamini kila tunachokisikia, ndo pale msemo wa akili za kuambiwa changanya na zako unapoingia....
 
Nilisha piga marufuku mada za kudhalilisha wachaga humu jukwaani.
Mbona dada yako ni zigo sisemi?
Wachaga wako vizuri na soko lao liko juu.
Wanapata wachumba, wanaolewa, wanapata watoto, wanatunza familia mume na watoto, wanailetea familia maendeleo. Wew ulitakaje?
 
una maanisha nini kusema wanaume kwa wanawake? mimi nilivyoelewa it is a two way traffic! ukichungulia nawe unachunguliwa maana kama sivyo huwezi leta uzi wa goigoi kwa jinsia mbili nawe jinsia mojawapo inakuhusu!!
 
Nilisha piga marufuku mada za kudhalilisha wachaga humu jukwaani.
Mbona dada yako ni zigo sisemi?
Wachaga wako vizuri na soko lao liko juu.
Wanapata wachumba, wanaolewa, wanapata watoto, wanatunza familia mume na watoto, wanailetea familia maendeleo. Wew ulitakaje?
asante mkuuu
 
Nimeipenda hii hasa kujali watoto na mapishi.

Karibu mkuu acha tuseme wenye shuhuda halisi si za kufikirika!!! Halafu wachaga ni wakarimu sana na wavumilivu jamani mfano hakuna na waweka siri za ndani sana. Wadogo zangu waliishi sana nyumbani kwangu wakati wakiwa shuleni walikuwa wanapita wakati wa likizo kabla ya kwenda kijijini na wakimaliza walikuwa wanakuja kukaa kwangu one at a time na wakati mwingine wanakutana kwangu. Lakini hadi leo hii sikuwahi kusikia malalamiko toka kwa wadogo zangu au hata wazazi kuwa walikuwa mistreated na wife hasa ukitegemea sisi ni makabila tofauti!!!! Wengine mliooa wachaga ruksa kuwatetea ati japo pia wako wengine tofauti kitabia ila wengi ni wanyoofu sana hasa pande za marangu, kilema, kirua vunjo na mwika!!!
 
Si useme tu umelenga wachaga sasa mama?? Sasa nikuambie kuwa wachaga wa leo si wale uliokuwa unawafikiria!!! Na mchaga wa leo akikukamatia mumeo humpati tena ninakuambia kwa sababu kwanza mapenzi wameshayajua sana, ni wachapakazi, ni wapishi wazuri nyumbani, ni watunzaji wa familia vizuri hasa malezi kwa watoto, si tegemezi nikimaanisha kuwa wanajishughulisa nivyo hela ndogondogo za matumizi yao haziwapigi chenga!!! Sasa nioe mtaalam wa kitandani huku kila siku ananipiga mizinga ni ya nini!!! Mchaga kitu eti kila upande wako poa sana!!! Ukioa mchaga jua familia yako imetulia tuli hata homework za watoto wanafuatilia na vikao vya shule yaani acha kabisa!! Mahusiano mazuri ni zaidi ya kukatika mauno kitandani!!! Wanaume tunataka mama wa watoto tofauti na fundi kitandani!!!!

Kaka umeoa mchaga. Au umezaa na mchaga?
 
Miss Chagga shemeji yangu huyu mleta mada sijui katokea wapi, nikimleta mama Furaha wangu wa kichagaa kwa ajili ya mashindano atawatoa nock out kabisa. Suala la kitandani ni ubunifu ambao kila mwanamke na mwanaume inamhusu.
sawa kabisa,........... hyuy jamaa ni famba
 
Nilisha piga marufuku mada za kudhalilisha wachaga humu jukwaani.
Mbona dada yako ni zigo sisemi?
Wachaga wako vizuri na soko lao liko juu.
Wanapata wachumba, wanaolewa, wanapata watoto, wanatunza familia mume na watoto, wanailetea familia maendeleo. Wew ulitakaje?

Shikamoo kichoi, yaani niseme tu wadogo zangu wawili walioa wachaga baada ya kuona mimi mke wangu. Ni mmoja tu alioa kabila lingine na alikuwa na mtu wake wa kichaga sema ikatokea akachepua mimba ikatokea so tukaona ni bora mwanae asiitwe wa kambo. Vinginevyo nyumba nzima ilikuwa ni wachaga full. Wadogo zangu wa kike watatu mmoja kakamata mchaga wa mwika, mwingine kakamata msukuma na wa tatu hopeful itakuwa chaga again wako katika final stages. Lord is God!! Tunaomba wachaga mtupe ardhi full tujenge.
 
Kaka umeoa mchaga. Au umezaa na mchaga?
Mkuu nilioa mchaga miaka hiyo and she is the best in everything. wadogo zangu wawili wakaoa huko baada ya kuona kwangu mambo murua, dada yangu kaolewa huko, na mwingine wako njiani hope watakamilisha. Sina kinyongo na wachaga kwa kila kitu, wife kwa mashindano hakuna wa kumtoa. Mkuu mke wako ni sehemu yako hata kama kuna vitu hafahamu mnaelimishana tu. Ndiyo maana kuna honey moon etc ni kuweka pia mambo sawa kama mlikua mnaoneana aibu wakati wa uchumba. Sasa fight on the bed si ya kila upande so mfundishe mashanturi tu ataelewa.
 
Back
Top Bottom