Halafu ukute mchaga mwenyewe aliyemtenda ni wewe🤣🤣. Fake ID hiziiHahaha huyu dada yetu ana matatizo yake tokea ya muda mrefu ya kuamini uchawi kuchukuliwa nyota nk.
Mtu akisha kuwa na imani hizo hata akikanyagwa bahati mbaya atasema amelogwa!
Ila sijui mchaga alimfanya nini aisee , ametoa maelezo marefu sana kwa mchaga.
Nilikuwa nikutag bhana Shem BaeHujapona bado we binti!!
KumekuchaaaAchana na wachaga kama hauna akili timamu binti
Sure , mkuu najuvunia mno.IMkuu wewe ni mchagga, uchaga ni damu, uchagga ni desturi na mila, uchagga sio jiografia wala ukuaji wa eneo. Uchagga no asili ya mtu. Kama ulivyo Usukuma, usukuma umetawanyika almost nch nzima. Jivunie kuwa mchagga, uchagga ni urithi "Heritage" na ni ufahari. 😊
SureKumekuchaaa
Sasa mtu amesha toka na mpare, mchaga , Mbulu, mkurya, mnyakyusa atakosa kupigwa matukio yanayo fanana na uchawi.Halafu ukute mchaga mwenyewe aliyemtenda ni wewe🤣🤣. Fake ID hizii
Mmefikiwa😁Sure
Ngamkumanya , mshiki😅Basi hapo nimekumanya kabisa🤣
Afya ya ubongo!Anaumwa nini?
Sisi tunafikiwa kwa michongo ya pesa tu maneno tu tunapuuzia nakusonga mbeleMmefikiwa😁
Shem mmekuwaje wachagga!😅😅Kwamba Wachagga na Ushirikina siyo?🤔
Uzi wako generally unamlenga Mchagga hao Wapare na wengineo ni blah blah tu...
Karibu Uchagani Mrembo.
Hakuna mchaga ana amini hizo swaga labda kuzugaKwamba Wachagga na Ushirikina siyo?🤔
Uzi wako generally unamlenga Mchagga hao Wapare na wengineo ni blah blah tu..
Karibu Uchagani Mrembo.
Kumbe! Duh pole sana kwake.. hayuko peke yake!Afya ya ubongo!
Eti kutambika ndiyo ushirikina Shem....Shem mmekuwaje wachagga!😅😅