Majuto ya Chid Benz

Taifa la kesho linateketea, kina Mwigulu wanazidi kukopa pesa kutumia na machangu wao na kujiongezea mabasi zaidi. Hatari sana.
 
Pole sana kwake Chid. Mungu ampe ujasiri wa kupambana na hali yake na liwe fundisho kwa wapumbavu wengine wanaotumia madawa ya kulevya.
 
Njoo kwa Yesu, kuacha vilevi na makandokando mengine inawezekana. Anasema, njoo I kwangu ninyi wenye kulemewa na mizigo, ntawapumzisha.... MATHAYO 11:28-30!
 
Kuna maji nikimpa akinywa!hakika hatorudia Tena huo ulevi wake!!

Nampataje mwamba!!?chidi Benzi!!?

Kuna mmoja alikua mlevi wa pombe mno Leo kaacha kabisa!!

Operation safisha safisha on!
 
Kuna maji nikimpa akinywa!hakika hatorudia Tena huo ulevi wake!!

Nampataje mwamba!!?chidi Benzi!!?

Kuna mmoja alikua mlevi wa pombe mno Leo kaacha kabisa!!

Operation safisha safisha on!
Kuna waraibu wengi humu wanatafuta tiba wasaidie tafadhali.. Chid anapatikana Ilala Dar
 
Njoo kwa Yesu, kuacha vilevi na makandokando mengine inawezekana. Anasema, njoo I kwangu ninyi wenye kulemewa na mizigo, ntawapumzisha.... MATHAYO 11:28-30!
Aaaameeen💪🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Ni huzuni kwakweli,walio karibu yake wafanye Kila linalowezekana kumsaidia huyu kaka.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…