Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,611
- 10,172
Kabisa unakula kistaarabu , kuna mwana humu kuna mchongo tuliupiga wote sasa ilinilazimu nimpigie video akashangaa kwamba alitarajia mimi ni cha pombe mpaka kwenye muonekano , kumbe ni mambo ya kujitunza tu na kula vizuri🤣
Huyu Chidi in his prime, nilikutana nae Nairobi Eastleigh akiwa na Nonini, Gabu wakishoot ngoma ya Kadhaa, Chidi alikuwa na walinzi wanamlinda, mwili jumba yupo na vest tuu.
Chidi wa kukaa hotel nyota tano, back in the days. Kweli kesho ni fumbo.
Sure broHahaha
We ni kitoto cha 2005, chid alikuwa na bode la kwendaa, utakuwa umemjua akiwa tejaNi Lini Chidy alikuwa na mwili jumba? Nyie mnaosema hivyo miili yenu ikoje?
Kafujo wangu upo?We ni kitoto cha 2005, chid alikuwa na bode la kwendaa, utakuwa umemjua akiwa teja
Nipo babydarlKafujo wangu upo?
Ni Lini Chidy alikuwa na mwili jumba? Nyie mnaosema hivyo miili yenu ikoje?
Toto la kinywarandwa nafarijika sana wewe kuniita majina mazuri😊 kafujo wangu mdada mrembo na mzuri hakikaNipo babydarl
Ushapiga vichupa vyako hapo naona, kesho ulewe tena bill yote kwangu,Toto la kinywarandwa nafarijika sana wewe kuniita majina mazuri😊 kafujo wangu mdada mrembo na mzuri hakika
Dah hiyo kitu (weed) kila nikivuta nafikiria kuacha, ila inanipa ujasiri wa kuendelea kuvuta. Sivuti sigara, shisha wala kitu kingine ila cha Jamaica nimeshindwa kabisa kuacha.Ulozi nimeweza.. Gambe nimeweza.. Moshi occasionally...bado niniView attachment 3374901
Noooo nitajilipia mwenyewe jmosi ,kesho nipo kazini japo ni kwel hapa nipo chumbani na babe wangu pombe😂😂😂😂Ushapiga vichupa vyako hapo naona, kesho ulewe tena bill yote kwangu,
Unatakiwa uwe na toto zuri hapo mnakunywaaaaa baada ya hapo ni michapano kama vitoto vya churaNoooo nitajilipia mwenyewe jmosi ,kesho nipo kazini japo ni kwel hapa nipo chumbani na babe wangu pombe😂😂😂😂
Kabisa madam wangu mzuri, mwaka juzi nikua Burundi kulikua na watoto wakali sijapata ona🤔Unatakiwa uwe na toto zuri hapo mnakunywaaaaa baada ya hapo ni michapano kama vitoto vya chura
Huko ndo mahali pakeKabisa madam wangu mzuri, mwaka juzi nikua Burundi kulikua na watoto wakali sijapata ona🤔
Pisi za Burundi ni kali kinouma Rwanda wanasubiri🤔Huko ndo mahali pake
Zilizopo Burundi ndo hizo hizo zilizopo Rwanda, Rwanda wapo wengi ndo maana uliona hivyoPisi za Burundi ni kali kinouma Rwanda wanasubiri🤔
Tiba kiaje embu tupeane maarifa wakuu??Kweli herbal ni tiba ila haitakiwi kuzidishwa ki MATUMIZI ni kupiga kiasi Ila hayo madawa ni hatareee sanaa mkuu
KIKUBWA tuendelee kupiga bia na konyagi mdogo mdogo kuzipa pole mioyo YETU.
Mimi nilidhani nimeacha kumbe nilikua sina hela aisee.Yeah kuacha pombe sio mchezo ujue
Sure, kuna Hotel moja ya Burundi nilifika nikamkuta mtoto mkali sijapata ona na yupo Hamble tu yani ile pisi ilikua fimbo sanaZilizopo Burundi ndo hizo hizo zilizopo Rwanda, Rwanda wapo wengi ndo maana uliona hivyo
Hapana, huwezi kupewa adhabu ya kifo China kwa sababu unatumia madawa ya kulevya, ila selling and distribution inawezaChina Mtu anae huza ama kutumia Madawa ya kulevya Adhabu yake ni Kifo.
Chidi nikama tayari Amekufa ki Akili.Laana ziwaendee wale wote walio mpa na kumnunulia Madawa.Tazama Hali yake sasa