Hongera sana mkuu , kwamba pombe hautimii kabisa bwashee?🤔😂 word, kujitunza na kula vizuri.
Mimi na kazi nazofanya muda mwingi nakua ndani, nikitoka nje ni mara chache sana niwe na ishu ya msingi, ikiwemo na kuonana na sadali nichukue stock yangu ya mwezi nitulie.
Watu wanaojua natumia ngwai ni wachache sana, wife hana noma yeye shida alikua analeta nikinywa mitungi na hata hivi zilinikataa ikabidi nitemane nazo.
Hata nyumbani napewa sana kesi za bangi za madogo watoto wa mabinamu niwashauri waache kuvuta bangi, ni neema za mwenyezi tu zinafanya nikubali hiyo kazi lakini deep down natumia nguvu kubwa sana kujizuia nisiwaulize hao watu (mashangazi na madingi) "kwani bangi ina tatizo gani?" 😂
Mimi ni mtu wa meditation na kujaribu kitu hata kama kina hatari na vyote huwa nasalimika bwasheeUsiniambie umefika na huo mzee 😂
Sigusi, zilikua zinaniendesha badala ya mimi kuziendesha.Hongera sana mkuu , kwamba pombe hautimii kabisa bwashee?🤔
Pombe zina code zake bwashee ukizijulia unakua mtu makini sanaSigusi, zilikua zinaniendesha badala ya mimi kuziendesha.
Yooh so una smoke, una meditate na ushawahi jaribu shroom?Mimi ni mtu wa meditation na kujaribu kitu hata kama kina hatari na vyote huwa nasalimika bwashee
Hizo nilifeli kuzijua aiseePombe zina code zake bwashee ukizijulia unakua mtu makini sana
Yeah mimi nina meditate na hatua zote mpaka za astral projection nazifanya ila ukiona nalewa na nipo level hii ujue mimi ni nguli na ninajua namna ya kufanya bwashee 🤣Yooh so una smoke, una meditate na ushawahi jaribu shroom?
Ungekua jamaa angu sana 😂
Inaonekana ilikusumbua sana ndio maana kila muda unatuma hii comment kuashiria ushindi mkubwa 😃Alcohol free since January 1 , 2024.
Hakika Muda Mwingine ili watu wailewe njia inayotoka lazima wapotee .Ameongea maneno mazito sana .
Naisikiliza Ngoma yake hapa inaitwa " PISHA"
Mhmm unafikiri nguli kama huyu anaweza sumbuka kiasi hicho bwashee?Inaonekana ilikusumbua sana ndio maana kila muda unatuma hii comment kuashiria ushindi mkubwa 😃
Hii comment yake ameirudia mara kadhaa hivyo naona anajipongezaMhmm unafikiri nguli kama huyu anaweza sumbuka kiasi hicho bwashee?
Yeah kuacha pombe sio mchezo ujueHii comment yake ameirudia mara kadhaa hivyo naona anajipongeza
Kabisa mkuu, hapa nikisema leo sinywi ndio nakunywa nyingi zaidiYeah kuacha pombe sio mchezo ujue
Mno mimi now nakula pombe kwa starehe tu nimeweza toka kwenye kula pombe kwa stress😊Kabisa mkuu, hapa nikisema leo sinywi ndio nakunywa nyingi zaidi
Pombe sio mbaya tatizo ni maamuzi ya pombeMno mimi now nakula pombe kwa starehe tu nimeweza toka kwenye kula pombe kwa stress😊
Mimi naitumia wakati ibada ya meditation inaniondoa mtawanyiko wa mawazo.Bangi inapewa jina baya tu , ila ile kitu inatuliza akili kwa njia ya kipekee sana😅