Yah ndio kipindi kile kuna mtu alitaka kujaribu na yangu basi nikampa akatuma mkuuUliwatumiaje IMEI?
Au ni kipindi kile walichosema watu wahakiki kwa kutuma ujumbe kwenda namba fulani ndiyo wakazikusanya?

wewe unatafuta kufungwa , hairusiwi ku-edit IMEI ila kwa walio na original unaruhusiwa ku-rebuild corrupted IMEI na S/No. tu.simu yoyote ikizimwa.. timba nayo kwa mafundi simu tu town...
inawaka hata kama ni feki
wewe unatafuta kufungwa , hairusiwi ku-edit IMEI ila kwa walio na original unaruhusiwa ku-rebuild corrupted IMEI na S/No. tu.
Wababaishaji sana halafu wana mlolongo nawauliza hii ni fake wanatazamana tu eti sijui nimuone nani nikawaaangalia nikaenda kufanya yanguKumbe ndiyo janja yao.
Mimi ninayo yenye line mbili lkn imei namba zipo mbili pia hapa ipoje?Wana JF,
Naanza kwa kuwapa pole wale wote waliotoa pesa zao kwa mbinde kwenda kununua simu original kwenye maduka yanayoaminika na pengine kwenda kwenye maduka ya wanaomiliki mitandao kama Halotel , Vodashop Airtel na Tigo, macho yaliwaonyesha kilicho bora wakanunua lakini baadae wanajikuta wakikosa mawasiliano baada ya ghafla simu zao kuonyesha no network, sim cannot register , network error, searching. haya matatizo mengi yamewakuta watu wanaotumia simu zenye line mbili, haijajulikana ni kwa nini simu ghafla inaandika S/No. 123456789ABCDEF na baadaye kukata network, uchunguzi wa awali unaonekana kuwa kwa kuwa simu zenye line mbili haziwezi kuregister kwenye network kwa kutumia S/No. moja ambayo ni utambulisho wa toleo la simu kama handset product Number, ambayo husomwa kwa bar-code kwa maandishi kama haya IIIIIII IIIIIIII I IIIIII ambayo ubandikwa nyuma ya simu, lakini hii Serio Number ukiisoma kwa ndani iko tofauti kabisa, simu hizi uonekana kama za kimangumashi ingawa kwa tanzania wanaziingiza kama original phone, simu zenye lini mbili nchi nyingi kama Uingeleza, Marekani Japani hawazitumii kabisa ingwaje wanaziuza madukni kwa wanaoenda kuzitumia katika nchi za Africa na Asia . Nina hofu kwamba kuna wakati TCRA itapiga marufuku simu zenye line mbili kwa kuwa haiwezekani simu moja ikawa na MSID moja, Baseband Moja alafu imei mbili, kam TCRA wamejipambanua kwamba wapo ktika mapambano ya kupunguza uharifu wanatakiwa kuwaamrisha wenye makampuni ya simu zinazotumia line mbili waakikishe zinawekwa S/No Mbili kwa kila line.
mkuu wakikugundua miaka 15 inakuhususimu yoyote ikizimwa.. timba nayo kwa mafundi simu tu town...
inawaka hata kama ni feki
Nimekusoma vizuri, ili simu iweze kufanya kazi inahitaji vitu vingi ili iweze kuregister katika Network ya SP ni lazima iwe na number ya utambulisho wa toleo(S/N, Model Name (mfano samsung) Product Code, Manufacture id, aina ya Band (900/1800/1900) ambapo kuna dual band , Tri-band na Quardband ndipo uweza kuwa hewani, Serial number kazi yake ni utambulisho wa chesis ya simu, iliyobeba kila kitu. Hivyo basi kama utambulisho wa chesis no. na baseband zikawa Null, Invalid simu hiyo haiwezi kufanya kazi, kwani imekiuka mikataba ya FCC, usiwadanganye watu kuwa Haina maana kwani wakati ukiwa umefanya kosa wakati wa kukutrack angalia wenzetu walio na iphone mfano.Hata mimi simuelewi anachanganya watu - serial number za manufactures za kazi gani - kinacho zungumzwa hapa ni IMEI zilizomo kwenye firmware ya handset kwa ajili ya ku identify simu, hii this has got nothing to do na serial number - ni kwamba kila kampuni inayo julikana inahunda simu inapewa a unique code ya kutambulisha muhundaji wa simu, yeye ana append namba fulani mwishoni lakini bytes za mwanzo wanapewa na consortium fulani ITU nafikiri, na hii inafanyika hata kwenye computers zetu Desk top, laptop na notebook hizo zote network ineterface card (NIC) ndiyo inaitambulisha computer kwenye network/mtandao kampuni zinazo manufacture card upewa a unique code za kuzitambulisha na hiki ndicho kinaendelea katika wahundaji wa simu za mikononi - vitu hivi vinafuata the same principles.
Sasa tuje kwenye dhana kwamba ukiwa na simu yenye line mbili utapata tatizo - hii si kweli! Mbona ukituma request TCRA kujua IMEI ya simu yako jibu linakuja ambalo ni sahihi kabisa - kama una simu ya line mbili inakupa IMEI numbers zote mbili - sasa hapo tatizo liko wapi, unless sikuelewa ulicho maanisha.
Si kweli, kawaida simu za line mbili huwa na imei mbili, na Samsung, yanayo simu original na hata tecno na nyingine nyingi na bado zinafanya kazi, naona wewe mtalamu fakeWana JF,
Naanza kwa kuwapa pole wale wote waliotoa pesa zao kwa mbinde kwenda kununua simu original kwenye maduka yanayoaminika na pengine kwenda kwenye maduka ya wanaomiliki mitandao kama Halotel , Vodashop Airtel na Tigo, macho yaliwaonyesha kilicho bora wakanunua lakini baadae wanajikuta wakikosa mawasiliano baada ya ghafla simu zao kuonyesha no network, sim cannot register , network error, searching. haya matatizo mengi yamewakuta watu wanaotumia simu zenye line mbili, haijajulikana ni kwa nini simu ghafla inaandika S/No. 123456789ABCDEF na baadaye kukata network, uchunguzi wa awali unaonekana kuwa kwa kuwa simu zenye line mbili haziwezi kuregister kwenye network kwa kutumia S/No. moja ambayo ni utambulisho wa toleo la simu kama handset product Number, ambayo husomwa kwa bar-code kwa maandishi kama haya IIIIIII IIIIIIII I IIIIII ambayo ubandikwa nyuma ya simu, lakini hii Serio Number ukiisoma kwa ndani iko tofauti kabisa, simu hizi uonekana kama za kimangumashi ingawa kwa tanzania wanaziingiza kama original phone, simu zenye lini mbili nchi nyingi kama Uingeleza, Marekani Japani hawazitumii kabisa ingwaje wanaziuza madukni kwa wanaoenda kuzitumia katika nchi za Africa na Asia . Nina hofu kwamba kuna wakati TCRA itapiga marufuku simu zenye line mbili kwa kuwa haiwezekani simu moja ikawa na MSID moja, Baseband Moja alafu imei mbili, kam TCRA wamejipambanua kwamba wapo ktika mapambano ya kupunguza uharifu wanatakiwa kuwaamrisha wenye makampuni ya simu zinazotumia line mbili waakikishe zinawekwa S/No Mbili kwa kila line.
kwanini, Mbona wamiliki wa mitandao kama voda/Airtel wamelimwa faini kwa sababu za kurusha line au kuwasha bila kuzitambulisha, technology ya kuzima inawezekana sana kwani unachukua simu ambayo hautaki iwe kwenye soko unaiondoa kwenye connection link kwa kuchukua serial number na imei number na kuiblock kwamba call bared, hivyo technologia sio kubwa sana hata mie nikiwekwa kwenye mtambo kama wa voda naweza kutambua simu feki, simu yoyote ikilink inapata kitu kinaitwa MSID ambayo inakupa nafasi kwenye mtambo wowote , swali dogo mbona ukiswap line, na mtu akaenda kuitumia simcard kwa simu nyingine mbona haipati network?Naamini kabisa TCRA hawana ubavu au mechanism ya kuweza kutekeleza unachokisema....
yaaani wewe umeonyesho ukilaza wa hali ya juu , ebu piga *#06#utaona number hizo au check nyuma ya simu yako kuna imei hazifanani, ila zinabebwa na S/No moja.Si kweli simu za line mbili huwa na imei mbili, na Samsung, yanayo simu original na hata tecno na nyingine nyingi na bado zinafanya kazi, naona wewe mtalamu fake
System za network na namna simu zinazofanya kazi zitatuma imei na katika hizo number kuna maana zake pamoja na kitambulisho cha model na unique ya simu husikii soma vizuri sio kutisha watuyaaani wewe umeonyesho ukilaza wa hali ya juu , ebu piga *#06#utaona number hizo au check nyuma ya simu yako kuna imei hazifanani, ila zinabebwa na S/No moja.
mhh,naona mwendo kasi umeamia tcraWana JF,
Naanza kwa kuwapa pole wale wote waliotoa pesa zao kwa mbinde kwenda kununua simu original kwenye maduka yanayoaminika na pengine kwenda kwenye maduka ya wanaomiliki mitandao kama Halotel , Vodashop Airtel na Tigo, macho yaliwaonyesha kilicho bora wakanunua lakini baadae wanajikuta wakikosa mawasiliano baada ya ghafla simu zao kuonyesha no network, sim cannot register , network error, searching. haya matatizo mengi yamewakuta watu wanaotumia simu zenye line mbili, haijajulikana ni kwa nini simu ghafla inaandika S/No. 123456789ABCDEF na baadaye kukata network, uchunguzi wa awali unaonekana kuwa kwa kuwa simu zenye line mbili haziwezi kuregister kwenye network kwa kutumia S/No. moja ambayo ni utambulisho wa toleo la simu kama handset product Number, ambayo husomwa kwa bar-code kwa maandishi kama haya IIIIIII IIIIIIII I IIIIII ambayo ubandikwa nyuma ya simu, lakini hii Serio Number ukiisoma kwa ndani iko tofauti kabisa, simu hizi uonekana kama za kimangumashi ingawa kwa tanzania wanaziingiza kama original phone, simu zenye lini mbili nchi nyingi kama Uingeleza, Marekani Japani hawazitumii kabisa ingwaje wanaziuza madukni kwa wanaoenda kuzitumia katika nchi za Africa na Asia . Nina hofu kwamba kuna wakati TCRA itapiga marufuku simu zenye line mbili kwa kuwa haiwezekani simu moja ikawa na MSID moja, Baseband Moja alafu imei mbili, kam TCRA wamejipambanua kwamba wapo ktika mapambano ya kupunguza uharifu wanatakiwa kuwaamrisha wenye makampuni ya simu zinazotumia line mbili waakikishe zinawekwa S/No Mbili kwa kila line.
Tigo/Voda wamelimwa fine sababu walisajili line bila kutumia njia sahihi i.e. vitambulisho maana hiki kinafanyika sana freelancer ukimwambia sina kitambulisho anakawambia nitajie tu majina yako...bila uthibitisho wowoe ule...zoezi la kuzima simu feki ni ushahidi kwamba TCRA hawana uwezo kama walivyojitanabaisha na zoezi a kuzima simu feki kimsingi limeshakufa.....kwanini, Mbona wamiliki wa mitandao kama voda/Airtel wamelimwa faini kwa sababu za kurusha line au kuwasha bila kuzitambulisha, technology ya kuzima inawezekana sana kwani unachukua simu ambayo hautaki iwe kwenye soko unaiondoa kwenye connection link kwa kuchukua serial number na imei number na kuiblock kwamba call bared, hivyo technologia sio kubwa sana hata mie nikiwekwa kwenye mtambo kama wa voda naweza kutambua simu feki, simu yoyote ikilink inapata kitu kinaitwa MSID ambayo inakupa nafasi kwenye mtambo wowote , swali dogo mbona ukiswap line, na mtu akaenda kuitumia simcard kwa simu nyingine mbona haipati network?
safi sana umeichimba vizuri, haya sasa tuje kwenye logic, je kama simu ya samsung imekufa S/No. na base band inafanya kazi? kama haiwezi ni kwa nini?Soma na hii kazi ya serial number haitumiki kabisa katika network request
What is the serial number?
The manufacturer assigns to each device a unique serial number, in which encoded all information about the product: model, production country , date of manufacture. The serial number is unique for each device from one manufacturer.
What is IMEI?
Mobile phones, except the serial number have also IMEI number. IMEI — International Mobile Equipment Identity. IMEI — a common standard for all mobile devices, which is assigned to the phone at the time of manufacture it in the factory. It's the unique number, which is broadcasting to the carrier to authorize phone in the network. Structure of the IMEI is the same for all phones regardless of manufacturer. IMEI number is also used to track and block lost or stolen phones by the carrier, which further prevents to use of such devices. However, blocking IMEI in one carrier network have no effect in others networks.
hat is the serial number?System za network na namna simu zinazofanya kazi zitatuma imei na katika hizo number kuna maana zake pamoja na kitambulisho cha model na unique ya simu husikii soma vizuri sio kutisha watu
IMEI number is structured by theBABT. It has 15 decimal digits. Actualy it has 14 digits plus a check digit. The structure of the IMEI isspecified in 3GPP TS 23.003. First 8 digits ofIMEI number are TAC (Type Allocation Code) which will give you the mobile phone brand and model. Other 7 digits are defined by manufacturer (6 are serial number and 1 is check digit).
If you would like to make sure that check digit is correct click here.
From 2004, the format of the IMEI is AA BBBBBB CCCCCC D.
TACSERIALCHECK DIGITAA BBBBBBCCCCCCD
In any of the above cases, the first two digits of the TAC are the Reporting Body Identifier, which identifies the GSMA-approved group that allocated the TAC. The RBI numbers are allocated by the Global Decimal Administrator. The first two digits are always decimal (i.e., less than 0xA0), allowing IMEI numbers to be distinguished from an MEID, which will always have 0xA0 or larger as its first two digits.
Example of IMEI number 35 780502 398494 2structure:
35 is reporting body identifier.
780502 manufacturer and brand (phone type)
398494 serial number
2 check digit
Tuanze na basebandsafi sana umeichimba vizuri, haya sasa tuje kwenye logic, je kama simu ya samsung imekufa S/No. na base band inafanya kazi? kama haiwezi ni kwa nini?