Majoka...

nimeona title nikajua majoka wanyama nikaingia nikichungulia kwa jicho moja maana naogopa hawa viumbe hata kwenye picha tu....kumbe ni utaratibu wa kucheza....hiyo inafaa kama huna kitambi na manyama uzembe
kalaghabao..... Ushamba uo
 
Acha bana mimi siwapendi kabisa hawa viumbe......hapa nasikia mwili unasisimka mpaka kwenye moyo

Hehehehehee hapo uvunguni mwa kitanda chako kuna bonge moja la reticulated python....litakumeza leo. hihihihihihihhhhh
 
Preta, 86? height? Ulikua na ngapi kabla hujaanza?
Mi picha yako kichwani mwangu ni kama avatar yako. lol

ukiniona dear utakimbia....hapo hizo kilo nimepungua sana....hivi sasa ndio nataka kutoa kitambi....karibu kinafika magotini.....
 
ukiniona dear utakimbia....hapo hizo kilo nimepungua sana....hivi sasa ndio nataka kutoa kitambi....karibu kinafika magotini.....
Hahahahaha, ni ngumu sana kuamini...
nimesha associate avatar ya Preta na posts za preta kichwani...
Halafu kg 86 huwezi kua na kitambi chote hicho bwana, wacha kutu danganya!
 
Mhh hayo majoka ni ya miaka hiyo ya 2000 na kuendelea,sijaona bugaluu wala laison,sijaona afro hapo!! Hayo ni majoka ya siku hizi tu btn 2000-2010 si ya zamani kabisa!
Mpwa hata miaka ya 1980's bugaluu na laison zilianza kupungua, miaka ya tisini ndo mokasini zilianza kupamba moto, ukiongeza na ile mikoba ya montana! Miaka 2000 - 2010 kwa hiyo picha nakubishia
 
Back
Top Bottom