Unakijua kisiwa chenye majoka Ziwa Victoria?

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,696
59,856


Kuna kisiwa kilichojaa nyoka wenye sumu kali barani Afrika. The Most Venomous Snakes of Africa. Ni eneo la hifadhi ya msitu mdogo na koloni la ndege wa ziwa wenye kelele nyingi na majoka aina ya @kobla Zaidi ya 2000 hivi Kinapatikana katika(Mkoa wa Kati, Wilaya ya @Rakai). Ndani ya ziwa Nyanza,/ziwa magharibi au jina lakikoloni viktoria la pili kwa ukubwa ulimwenguni.

Kisiwa cha Musambwa Kusini ni kati ya visiwa vya Uganda kusini ndani ya ziwa Victoria Hiki ndio kisiwa hakiruhusiwi mwanamke yoyote kukanyaga,ama kuishi. Kinaishi wanaume watupu wapatao 200 hivi kikiwa na mashariti magumu ya tabia za wanaume wapenda ngono, hapa kuna maambukizi 0 ya HIV wanaume wa kisiwa hiki hawaogopi kabisa kuishi kwa amani na maelfu ya nyoka wenye sumu kali aina ya cobra.

Kumuuwa nyoka hapa ni uchuro na hairuhusiwi Wavuvi hawa wako katika eneo la kati la Uganda, hivyo wanaongea kabila la Baganda, ndilo linalotawala zaidi na jina la Musambwa likimaanisha Eneo la Mapepo.
 
Je, turudishe jina letu la zamani Ziwa Nyanza?

1675154108209.jpeg
 
animals_hero_cobra.jpg

cobra, any of various species of highly venomous snakes, most of which expand the neck ribs to form a hood. While the hood is characteristic of cobras, not all of them are closely related. Cobras are found from southern Africa through southern Asia to islands of Southeast Asia.
 


Ukipitia hapa ndio utaona wazungu hawakuwahi kuwa wajinga majina yaoi kutumika kama kumbukumbu ya maeneo ya kimkakakati waliyowahi kuyachunguza na kujua thamani narasilimali zilizopo tena hawa wakoloni wetu chaaaa.
 
Back
Top Bottom