Mathayo Fungo
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 319
- 510
Umoja na mshikamano ndio nguzo. . . . Majizzo aahidi kuisaidia Clouds Media Group katika kuziba pengo la mkurugenzi wa vipindi marehemu Ruge Mutahaba kioparesheni mbaka pale watakapopata mtu sahihi wa kushika nafasi hiyo.View attachment 1038194
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndio hiyo. . . .bishana na simu yakokuna akina ruge 20 clouds, majizo 20 clouds
acha mahaba
Huu ni ujinga mwingine, kwani Ruge alikuwa anatangaza kipindi gani? Na muda wote huo wakati Ruge yupo wodini clouds walizima mitambo kwa sababu Ruge hayupo?Umoja na mshikamano ndio nguzo. . . . Majizzo aahidi kuisaidia Clouds Media Group katika kuziba pengo la mkurugenzi wa vipindi marehemu Ruge Mutahaba kioparesheni mbaka pale watakapopata mtu sahihi wa kushika nafasi hiyo.View attachment 1038194
Sent using Jamii Forums mobile app
haya ni mastori ya kunywea rubisi.Umoja na mshikamano ndio nguzo. . . . Majizzo aahidi kuisaidia Clouds Media Group katika kuziba pengo la mkurugenzi wa vipindi marehemu Ruge Mutahaba kioparesheni mbaka pale watakapopata mtu sahihi wa kushika nafasi hiyo.View attachment 1038194
Sent using Jamii Forums mobile app
error za kawaida tu hizo mkuu. . .sweat out.
Ruge alikuwa mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji. . . .kuondoka kwake hakufanyi kusiwe na mtu wa kukaa kwenye position hiyo unless kama hujajua umuhimu wa hiyo position.Huu ni ujinga mwingine, kwani Ruge alikuwa anatangaza kipindi gani? Na muda wote huo wakati Ruge yupo wodini clouds walizima mitambo kwa sababu Ruge hayupo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ndio akaye Majizo wa EFM? Hivi vichwani mwenu mko timamu kweli!?Ruge alikuwa mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji. . . .kuondoka kwake hakufanyi kusiwe na mtu wa kukaa kwenye position hiyo unless kama hujajua umuhimu wa hiyo position.
Musitake kuwagombanisha jamani please na maneno yenu hayaUmoja na mshikamano ndio nguzo. . . . Majizzo aahidi kuisaidia Clouds Media Group katika kuziba pengo la mkurugenzi wa vipindi marehemu Ruge Mutahaba kioparesheni mbaka pale watakapopata mtu sahihi wa kushika nafasi hiyo.
vichwa vyenu na nani? Mi mtoa taarifa tu ankoKwahiyo ndio akaye Majizo wa EFM? Hivi vichwani mwenu mko timamu kweli!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hiyo nafasi ndiyo anayoicover SHAFII DAUDAH...TANGU AUMWE RUGE...Ruge alikuwa mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji. . . .kuondoka kwake hakufanyi kusiwe na mtu wa kukaa kwenye position hiyo unless kama hujajua umuhimu wa hiyo position.
SseboBiashara kichaa hiyo. Ushindani kibiashara ndo kunasaidia biashara kukua. Yeye awasaidie tu. Wasafi media ikipata mtu mwenye creativity itafika mbali. Majizzo namuona kama kilaza flani hivi kuna brains nyuma yake zinasaidia Efm kwenda juu.
Majizo atachukua nafasi ya ukurugenzi, ni mpango mkakati wa kuifanya clouds ipige hatua zaidi, wale walio ndani wanaona kuna pengo wewe huwezi kuona kwani wewe ni mfanyabiashara?huwezi kujuamambo ya risk managementHuu ni ujinga mwingine, kwani Ruge alikuwa anatangaza kipindi gani? Na muda wote huo wakati Ruge yupo wodini clouds walizima mitambo kwa sababu Ruge hayupo?
Sent using Jamii Forums mobile app