Majizzo wa EFm na Clouds (CMG) kufanya kazi pamoja

Mathayo Fungo

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
312
1,000
Umoja na mshikamano ndio nguzo. . . . Majizzo aahidi kuisaidia Clouds Media Group katika kuziba pengo la mkurugenzi wa vipindi marehemu Ruge Mutahaba kioparesheni mbaka pale watakapopata mtu sahihi wa kushika nafasi hiyo.
20190305_064032.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,272
2,000
Umoja na mshikamano ndio nguzo. . . . Majizzo aahidi kuisaidia Clouds Media Group katika kuziba pengo la mkurugenzi wa vipindi marehemu Ruge Mutahaba kioparesheni mbaka pale watakapopata mtu sahihi wa kushika nafasi hiyo. View attachment 1038194

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ujinga mwingine, kwani Ruge alikuwa anatangaza kipindi gani? Na muda wote huo wakati Ruge yupo wodini clouds walizima mitambo kwa sababu Ruge hayupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mathayo Fungo

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
312
1,000
Huu ni ujinga mwingine, kwani Ruge alikuwa anatangaza kipindi gani? Na muda wote huo wakati Ruge yupo wodini clouds walizima mitambo kwa sababu Ruge hayupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ruge alikuwa mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji. . . .kuondoka kwake hakufanyi kusiwe na mtu wa kukaa kwenye position hiyo unless kama hujajua umuhimu wa hiyo position.
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
2,420
2,000
Umoja na mshikamano ndio nguzo. . . . Majizzo aahidi kuisaidia Clouds Media Group katika kuziba pengo la mkurugenzi wa vipindi marehemu Ruge Mutahaba kioparesheni mbaka pale watakapopata mtu sahihi wa kushika nafasi hiyo.
Musitake kuwagombanisha jamani please na maneno yenu haya
 
MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
16,138
2,000
Clouds haihitaji msaada wa mtu. Hakuna mtu wa kuwatisha nje ya timu yao. Tishio kwa Clouds labda angekuwa Ruge mwenyewe ambaye ndio aliyekuwa na password ya mafanikio yao.

Bado naamini watafanya vizuri tu ingawa itawachukua muda mrefu kupata mtu mwenye passion na creativity level za Ruge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
19,279
2,000
Biashara kichaa hiyo. Ushindani kibiashara ndo kunasaidia biashara kukua. Yeye awasaidie tu. Wasafi media ikipata mtu mwenye creativity itafika mbali. Majizzo namuona kama kilaza flani hivi kuna brains nyuma yake zinasaidia Efm kwenda juu.
 
Tatigha

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
1,907
2,000
Duuuuu clouds ndio imsaidie au yeye aisadie clouds? Mbona ruge hakuwepo takribani mwaka mzima na ilikua inadunda kama Kawa? Clouds sio wajinga walikua wameshajiandaa kwa hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
19,095
2,000
Huu ni ujinga mwingine, kwani Ruge alikuwa anatangaza kipindi gani? Na muda wote huo wakati Ruge yupo wodini clouds walizima mitambo kwa sababu Ruge hayupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Majizo atachukua nafasi ya ukurugenzi, ni mpango mkakati wa kuifanya clouds ipige hatua zaidi, wale walio ndani wanaona kuna pengo wewe huwezi kuona kwani wewe ni mfanyabiashara?huwezi kujuamambo ya risk management
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom