Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Sinilisikia kuwa ana HISA 3 mzuka ... ina maana mihela yote ile wanayo jifanya kugawa gawa kwa washindi " Ameshindwa kuchukua hata Faida ya walichokuwa wanakiingiza kwaajili ya kumpatia matibabu kweli !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu...ishu iko hivi, mpaka sasa zaidi ya milioni 500 zimetumika ukiondoa misaada!

Je kama ni zake lkn clouds wakajifanya wamemlipia?

Na unakuta hana tena cash zaidi ya assets, na assets umuuzie Nani fastafasta akupe 1b ili ujitibie? Tuwe wakweli

Mimi naposikiaga kwamba mtu ni tajiri ... akili huwa inanifikisha kwenye Billions 7s kuwa ndio ana Worth .... anyway Tumuombee dua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom