Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Ndo najiuliza anaumwa nini hicho kama figo si angewekewa zingine
Kuna kitu kama wanaficha? Kweli anaumwa figo lkn naona bado hawajawa specific, unahitaji msaada kuwa mkweli na si kufichaficha. Hiyo milioni tano per day itakuwa inalipwa kwa mda gani? au kwani haiwezakani kupandikizwa figo nyingine ili kuepusha gharama manake mpaka sasa haifahamiki kinahitajika kiasi gani, zaidi ya kuambiwa zinahitajika 5m or 6m per day.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Million 600. Ipi ambayo amemudu haha hiyo ni pesa yake including michango ya wana ndugu jamaa na marafiki aise .... baada ya kuona kuwa matibabu ya jamaa yana wafilisi wakaona wausukumizie mfupa uliomshinda fisi kwa watanzania ....

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kusema hivi, wale GSM mall, makonda, wabunge,marafiki,zamaradi,ndugu wasanii wakijichanga hazitoshi mengine tumuachie Mungu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom