Majizo umemsikia Rais Samia?

Majizo umemsikia Rais Samia?

MAJIZZO Boss wa E-FM nadhani umemsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu watu kumkosoa, sasa uamuzi wako wa kumchukulia hatua Gerald Hando kama itakupendeza utengue kama sehemu ya kuunga mkono uamuzi wa Rais wa kujikosoa na kukosoana.

Pia wape Uhuru wa kuchambua mambo ya nchi watangazaji wako akiwemo Maulid Baraka Kitenge ambaye naye kuna tetesi ulitaka kumla kichwa kwa kitendo cha kumhoji Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu Deni la Taifa.
Wacha hizo. Kumkosoa mtu ni zawa lakini usitumie redio ya mwenziyo tafuta yako. Kama angeenda kwenye Clubhouse ya madiaspora wa tindulissu wala asingesakamwa, badala yake angepewa airticket aende Cincinatti Ohio kuonana na International al democratic Union ya tundulissu.
 
Jamaa anawasiwasi sana lazima kuna makosa mahali ukiwa unafanya biashara halali unalipa kodi halalali huwezi panic kwa maneno kama yale. nchi inakopa kweli na ndo mwanzo wa maisha kuwa magumu...angemaliza tu kwa kusema tunakopa kwajili ya miradi ambayo itakuwaa na manufaa kwa vizazi vya kesho ni hivyo tatateseka kweli ila watoto wetu kesho hawatateseka shida Jizoo amekaa kama muhalifu akiona police tayari wasiwasi ndoo..
Ngada FC
 
Majizo ni chawa wa JK
Hivi mzee Kikwete anatafuta hao mnawaita chawa ili afanikiwe lengo lipi? Maana ni mzee wetu mstaafu, mpenda nchi yake na mwenye kilimo chake cha mahindi ya Yanga (njano)...#Tumwache mzee apumzike. Ni ombi tu.🙏🙏🙏
 
Kuna watu wana power kuliko huyo nani....
 
MAJIZZO Boss wa E-FM nadhani umemsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu watu kumkosoa, sasa uamuzi wako wa kumchukulia hatua Gerald Hando kama itakupendeza utengue kama sehemu ya kuunga mkono uamuzi wa Rais wa kujikosoa na kukosoana.
Kamwe hawezi kwasababu
  1. Alishasifiwa na yule mzee wa fitna wa Msoga cc chawa wa Bumbuli
  2. Alishakula ng'ombe wa mkesha wa mwaka mpya hawezi kusaliti mwaliko
 
Back
Top Bottom