Majivuno, kujihesabia haki, na kiburi cha uzima (Pride, self-righteousness, and the pride of life)

z12f

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
638
467
Nadhani watu wengi katika muda fulani wa maisha yao wamekuwa na kiwango fulani cha udhaifu huu uliotajwa kwenye kichwa cha habari.

Je, umekutana na watu ambao umeona wana kiwango kikubwa cha tabia zinazoendana na kichwa cha habari?

Maofisini, mitaani etc. Iwe mabosi au watu wa kawaida?

Ni vizuri wajitahidi kupunguza mapungufu hayo.
 
Hadi uchaguzi uishe.."Madenge"ataonja joto ya jiwe! NB: simzungumzii Pogba au mzee lukaku! Tuelewane!
 
Back
Top Bottom