saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,683
- 7,796
- Thread starter
- #21
Mwita maranya tafadhali endelea kutoa msaada watanzania wenye nia njema waelewe.
Natumai Naibu KM Elimu, Profesa Msanjila analisikia hili. Ni mtu makini na anaweza kuchukua hatua stahili ili kuokoa elimu na raslimali za serikali.tumeshawaambia kuna tatizo pale Arusha Technical College, unakaribishwa kufanya utafiti. Matatizo ni makubwa kuliko hizi dodoso. tunamkaribisha waziri husika atajionea. waliofukuzwa ni waliokuwa viongozi wa academic staff association na wa THTU mtu anauli majina? hata hao huwezi kuwafahamu? acheni uvivu.
kama kweli Dr. Masika ana PhD feki kama unavyosema, imekuwaje vyombo vikubwa vya kimataifa Duniani vimpe nafasi kubwa. kwa mfano Dr. masika ni kaimu mwenyeki wa 'The world Federation of Colleges and polytechnics (WFCP), pia ni mjumbe wa Bodi ya 'The Commonwealth Association of Technical university and Polytechnics in Africa (CAPA), na vile vile ni mwenyekiti wa ' Investment and Development Comittee' ya CAPA. kama kweli ana PhD feki wangemteuwa nafasi kwenye hizo taasisi ? Dr. masika tunayemfahamu sisi ni mhandisi makini sana na amekuwa na mchango mkubwaa sana kwenye field ya uhandisi hapa nchini. Tatizo kubwa kwa sisi Watanzania ni chuki binafasi, hatupendani sisi kwa sisi, Hivi ni nani hasa aliyeturoga ? hizi roho za kwanini tukiona mtu anafanya nzuri ni shinda.... tumezoea majungu, fitina na uzandiki uliopitiliza. tubadilike jamani.Mkuu wa chuo ana PhD feki,
Lini Dr. Magufuli rais wetu mpendwa utaitembelea chuo cha ufundi Arusha? Kuna ufisadi wa kutisha.
Mkuu wa chuo ana PhD feki, amenunua vyombo vya serikali ikiwamo Takukuru.
Jengo la km Tshs. 3 Billion lajengwa kwa Tshs. 7 Billion. Mkuu wake Dr.(feki) Richard J. Masika adai hakuna wa kumgusa serikalini. Ameinunua bodi yote.
Amefukuza viongozi wa academic staff association na wa THTU. Serikali ituambie atawatesa hawa wasomi na kuiibia serikali mpaka lini?
Hicho ndo chuo kigumu na Product zao zina uzika sana sokoni No carry kama Must na DIT ukishindwa kuchomoa Sup ni Re do hio module tuChuo kinatupa sup co poa kabisaa yani unaweza ika disco semester 1 tuu
Mi mwnywe nahama soonHicho ndo chuo kigumu na Product zao zina uzika sana sokoni No carry kama Must na DIT ukishindwa kuchomoa Sup ni Re do hio module tu
Unapiga coz gani pale kamanda.. maana kuna coz pale ni dume ni shida?Chuo kinatupa sup co poa kabisaa yani unaweza ika disco semester 1 tuu
Automotive engineeringUnapiga coz gani pale kamanda.. maana kuna coz pale ni dume ni shida?
Dogo unaijua retake ya DIT ama waongea tu....Hicho ndo chuo kigumu na Product zao zina uzika sana sokoni No carry kama Must na DIT ukishindwa kuchomoa Sup ni Re do hio module tu
wewe unamkosoa kwa lugha ya kingereza.Nikuombe mkuu usiwe mvivu wa kufikiri na kuchunguza mambo kabla hujayaweka hadharani kwa jamii, utaumbuka.Mkuu kama Una vielelezo hebu viweke hapa. Pia upige picha hilo jengo na watu walipime kwa being inayopaswa. Ikiwezekana pia uweke na majina ya academic staff waliofukuzwa. Utakuwa umerahisisha zaidi.
NB: REKEBISHA TITLE YA THREAD. NI ARUSHA TECHNICAL COLLEGE
Hii ilifikia wapi saigilomagemaLini Dr. Magufuli rais wetu mpendwa utaitembelea chuo cha ufundi Arusha? Kuna ufisadi wa kutisha.
Mkuu wa chuo ana PhD feki, amenunua vyombo vya serikali ikiwamo Takukuru.
Jengo la km Tshs. 3 Billion lajengwa kwa Tshs. 7 Billion. Mkuu wake Dr.(feki) Richard J. Masika adai hakuna wa kumgusa serikalini. Ameinunua bodi yote.
Amefukuza viongozi wa academic staff association na wa THTU. Serikali ituambie atawatesa hawa wasomi na kuiibia serikali mpaka lini?
Ok, viongozi wakubwa wote walishaondolewa, serikali ilianza na aliyekuwa mkuu wa chuo Dr. Richard Masika, alifukuzwa km jambazi 2017, aliyekuwa anakaimu Dr. Masoud naye alijiingiza kwenye mtego kipumbavu 2020 ilikuwa afukuzwe ila alimpigia magoti waziri mkuu Majaliwa akilia km mtoto mdogo, sahv ni afisa wa kawaida yuko pale wizara ya Maji Dodoma anatumwa na mkuu wa idara km mtoto mdogo. Serikali yetu ni sikivu sana, ukipewa dhamana iheshimu, acha arrogance, egoism, kiongozi ni mtumishi siyo mtawala tena wa kunyanyasa, kubagua unaowaongoza. Ukileta za kuleta sisi kurunzi tupo tunakumulika tunakurusha tukiwa na data kamili. Taarifa zinaletwa humu usije ukazipuuza, nyingi ni za kweli serikali inalifahamu hilo. Ila viongozi wengine kwa ushamba na kutokujua wanaanzisha ligi na watu wasiowafahamu, mwishoni wanaumia maana serikali ikifanya ufuatiliaji inagundua ni za kweli. Viva Tanzania viva! Bila shaka nimekujibu.Hii ilifikia wapi saigilomagema
Nikichimbua makaburi yako, umesheheni malalamikoOk, viongozi wakubwa wote walishaondolewa, serikali ilianza na aliyekuwa mkuu wa chuo Dr. Richard Masika, alifukuzwa km jambazi 2017, aliyekuwa anakaimu Dr. Masoud naye alijiingiza kwenye mtego kipumbavu ilikuwa afukuzwe ila alimpigia magoti waziri mkuu Majaliwa akilia km mtoto mdogo, sahv ni afisa wa kawaida yuko pale wizara ya Maji Dodoma anatumwa na mkuu wa idara km mtoto mdogo. Serikali yetu ni sikivu sana, ukipewa dhamana iheshimu, acha arrogance, egoism, kiongozi ni mtumishi siyo mtawala tena wa kunyanyasa, kubagua unaowaongoza. Ukileta za kuleta sisi kurunzi tupo tunakumulika tunakurusha tukiwa na data kamili. Taarifa zinaletwa humu usije ukazipuuza, nyingi ni za kweli serikali inalifahamu hilo. Ila viongozi wengine kwa ushamba na kutokujua wanaanzisha ligi na watu wasiowafahamu, mwishoni wanaumia maana serikali ikifanya ufuatiliaji inagundua ni za kweli. Viva Tanzania viva! Bila shaka nimekujibu.
We kafanye mambo yako, taarifa za kuwasaidia watanzania na serikali siyo malalamiko, kila mtu ni mlinzi wa nchi hii. Timiza wajibu wako usitafute matatizo na watu. Utafukua nini, threads zangu zinapatikana kazirejee km unazihitaji. Ni km sijaelewa unataka nini. We pambana na taasisi achana na watu binafsi. Mind your business wacha kila moja atimize wajibu wakeNikichimbua makaburi yako, umesheheni malalamiko
Kama ndiyo raha yako, hongera sana. Ila kazi unayoWe kafanye mambo yako, taarifa za kuwasaidia watanzania na serikali siyo malalamiko, kila mtu ni mlinzi wa nchi hii. Timiza wajibu wako usitafute matatizo na watu. Utafukua nini, threads zangu zinapatikana kazirejee km unazihitaji. Ni km sijaelewa unataka nini. We pambana na taasisi achana na watu binafsi. Mind your business wacha kila moja atimize wajibu wake
Sinaga muda kulumbana na watu binafsi, raha ktk lipi, ht we una kazi. Unazungumzia hbr za ATC? We unamfahamu Masika? Nenda kaulize pale chuoni alikuwa mtu wa aina gani. Yule alikuwa shetani, km amepewa haki yake unasema naona raha? Km ndivyo uko sawa, kwani km ni ww shetani akishindwa we huwezi kufurahi? Basi utakuwa wa ajabu! Mashetani km Masika yakishughulikiwa jamii inapata uponyaji, kwanini usifurahi?Kama ndiyo raha yako, hongera sana. Ila kazi unayo