serengo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 486
- 362
Seleman kwa wakristo linatumikaSijawahi kusikia mkristu anayeitwa selemani!!
Seleman kwa wakristo linatumikaSijawahi kusikia mkristu anayeitwa selemani!!
Spoku wanaita ChipokuKama ni wamakonde kuna majina haya:
Saanane
Baiskeli
Spoku
Thelathini
Tairi
Jina sio dini mkuuHi wanajamii,
Nisaidieni majina mawili ya kike na mawili ya kiume yanayo tumika katika dini zote,yaani kiislamu na kikristo.Nimtihani nimepewa.
Natanguliza shukrani.
SolomonSijawahi kusikia mkristu anayeitwa selemani!!
Mwanauani, Mwanamvua, HavinitishitishiChausiku, shikaadabu, tabu , shida....
ZAWADI - Kike/Kiume na dini
Musa - Dini mbili
Daudi - Dini mbili
Mariamu - dini mbili
HaichekeshiTeh teh au waunganishe herufi zao za mwanzo wapate jina lol.
ZakariaHi wanajamii,
Nisaidieni majina mawili ya kike na mawili ya kiume yanayo tumika katika dini zote,yaani kiislamu na kikristo.Nimtihani nimepewa.
Natanguliza shukrani.
Lkn umefeli...[emoji23]Nani kakupa mtihani raisi namna hii?
Mohammad anaitwaje upande wa pili?Hakuna majina ya dini, bali kuna majina ya lugha kama mifano ifuatayo:
Na. Kiarabu Kiingereza
1. Mousad Mosses
2. Ibrahim Abraham
3. Yahya John
4. Suleiman Solomon
5. Nuhuk Noah
6. Yousuf Joseph