Majina yanayotumika katika dini ya kikristo na kiislam

Majina yanayotumika katika dini ya kikristo na kiislam

Hi wanajamii,
Nisaidieni majina mawili ya kike na mawili ya kiume yanayo tumika katika dini zote,yaani kiislamu na kikristo.Nimtihani nimepewa.
Natanguliza shukrani.

Umeoa/umeolewa huko nn? alafu mmeagana mtafute majina neutral! hongera

Kuna haya tena:

-Adamu

- Ibrahim

- Nuhu/Noah

- Sarah

- Ayubu
hata Naibili lipo kote kote

Sijawahi kusikia mkristu anayeitwa selemani!!

Matamshi tu. Selemani=Solomon¡
Yusufu= Joseph=Yoseph

Gibril=Gabriel

Isaac= Isihaka
Cha ajabu mengi ya majina yanayofanana kwa dini mbili ni wanaume!

Kama ni wamakonde kuna majina haya:
Saanane
Baiskeli
Spoku
Thelathini
Tairi

Back
Top Bottom