Majina yanayotumika katika dini ya kikristo na kiislam

Majina yanayotumika katika dini ya kikristo na kiislam

Nenda kanisan ubatiwe kwa jina la juma
Angalia majina ya superstars uone kama hiyo issue inafuatwa tena wengi wakiristo tu ,eg rahim steerling,usain bolt,kanye west, north west , beyonce (jina la bibi yake karithi),tupac shakur,tigerwoods,mizengo pinda,hugo chavez,makongoro nyerere, tundu lissu, etc
 
Ndio maana nikasema majina yana asili yke huwez kuta jina masanja alafu akawa mchaga huwez mwambia pastor nibatize niitwe juma au rajabu uone kama atakukubalia au umwambie shekh nimebadili din niwe muislam niendelee kuitwa petro jina ni id ya kabila au din.
 
Musa, Ibrahimu, chausiku, Ismael, Yaakobo, Harun, Maryam, Sarah, Daudi, Suleiman, Yunis (Jona), Joseph (Yusuf).... Yapo mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom