seleman hapanaAdamu, seleman, sofia
Juma hapana, wakristu wanaotumia jina Juma si waumini wa kweli hata kidogo.Ya kike
Sara
Sofia
Ya kiume
Juma
Ibrahim
Sophia equal to Saphia
YUSUPH=JOSEPH
Kuna Sophia pia!
Majina yanaasili na maana yke,hyo tunayosema ya kikristo meng yanaasil ya kiisrael na kizung na kama mtu akibadil dini hubadilishwa jina na yale unayoona yamefanana ni waarab wamekop kutoka waisrael mf daud,seleman,musa,yakobo.Jina sio dini mkuu
Ila ni nadharia tu ambayo ipo vichwani mwa watu
Hii ni kwa sababu waarabu wengi ni waislamu hivyo basi ukimpa mtoto jina lenye asili ya kiarabu ataonekana muislama al kadhalika wazungu wengi ni wakristo hivyo basi ukimpa mtoto jina kizungu bila shaka ataonekana ni mkristu ila kiukweli jina litabaki kuwa uteuzi tu haiusiani kabisa na dini na ndio maana wapo wakristo wengi wenye majina kama vile Mohamed,Juma ,nk na pia wapo waislamu wenye majina mengi kama vile John ,Erick Bryan nk
Abass hivi Kuna abass wakristo ?Amina
Selemani
Fadhil
Abass
Amin
Shakira iko kiarabu,nikkita kiurusi su kijapan mi naona hakuna uhusiano jina Na diniriziki
semeni
amani
wema
nuru
faraja
pendo
neema
precious
hope
nikkita
jasmin
sheira
shakira
Hahaha. Safi saanamagufuri
Nenda kanisan ubatiwe kwa jina la jumaNi
Shakira iko kiarabu,nikkita kiurusi su kijapan mi naona hakuna uhusiano jina Na dini
Mbwiga, mwalikigegoDaudi
Bashite
Hai wote waislamFatma,Fatima,Fatuma
Nenda kanisan ubatiwe kwa jina la juma[/QUOTE tatizo watu wanakariri