Majina ya watoto ya kimasai

Majina ya watoto ya kimasai

Wengi wanachanganya, OLE ni sawa na neno BIN ambalo limechukuliwa ktk lugha ya Kiarabu hivyo siyo jina. Mfan mimi Nkaitwa, Abdul Ole Sungita(Abdul Bin Sungita), John Ole Joseph Magufuli
Naam, na ukiona mtu anaitwa OleFulani, maana yake hilo siyo jina lake. Bali ni mtoto wa Fulani.
 
Nangayai,Lomayan,Lemapii,Leboi,Leiyan,Losiekuu,Sabore,Ndorosi,Lemakoo,Tipiliti,
 
Lomayani=Atakaebarikiwa.
Saitabau=Atafikisha

Loserian=Mtu wa Amani

Leng'ida=Mtu wa furaha
Lengarip=mtu Wa ukarimu

Lovoi=mtu wa kubembelezwa

Lomayani=mtu wa kubarikiwa

Loigwan=mtu aliyefunzwa
Loomoni=mtu anaeombwa

Lengume=mtu wa pua

Lengutuk=mtu wa mdomo

Lengai=mtu wa MUNGU

Olais=Malaika

OLmagilani=Anaeokoa

OLkima=Kima

Oloikuma =Kobe

OLmakofuli=Lesukuma

Olekoromije=Bashite

Kazi kwako
Lomooni sio mtu anaependa salamu ndefu arif?

Ila unakuta tu mtu anaitika

Eeee
Eeee
Eeee
Eeee
 
Hahahahaha, Naishiye ni la kike. Lengisugi hawezi kupewa mpaka maana linasadifu mvuta Ugoro.

Laizer pia haifai kupewa, hilo ni jina la Ukoo. Kama yeye ni wa Ukoo wa Laizer maana yake atakuwa Laizer tu.

Kama yeye siyo, huwezi kumpa mtoto jina la Ukoo mwingine
Haha atajua mwenyew la kuchagua
 
e0b95965c6a5c8d847d29085e3d383fb.jpg
 
Back
Top Bottom