Majina ya watoto ya kimasai

Majina ya watoto ya kimasai

Jamani nilikuja na nyuzi hapa,,baba wa mtoto kakataaa majina ya kiswahili,,kasema anataka majina ya kimasai aiseee

So naombeni ya kimasai ya kiume
Majina ya Watoto wa Kimasai ndo hayohayo ya Wababa wa Kimasai.Kabla ya kuwa Wababa waliishakuwa watoto. So wape majina kama Lowassa,Moringe,Ole Sendeka nk. Unaumiza kichwa bila sababu
 
Jamani nilikuja na nyuzi hapa,,baba wa mtoto kakataaa majina ya kiswahili,,kasema anataka majina ya kimasai aiseee

So naombeni ya kimasai ya kiume
Luis Ole Shika
Nanayei
Ole Sendayeyi
 
Lomayani=Atakaebarikiwa.
Saitabau=Atafikisha

Loserian=Mtu wa Amani

Leng'ida=Mtu wa furaha
Lengarip=mtu Wa ukarimu

Lovoi=mtu wa kubembelezwa

Lomayani=mtu wa kubarikiwa

Loigwan=mtu aliyefunzwa
Loomoni=mtu anaeombwa

Lengume=mtu wa pua

Lengutuk=mtu wa mdomo

Lengai=mtu wa MUNGU

Olais=Malaika

OLmagilani=Anaeokoa

OLkima=Kima

Oloikuma =Kobe

OLmakofuli=Lesukuma

Olekoromije=Bashite

Kazi kwako
Leng'ida sio mtu anaedeka kweli?
 
Koo za kimasai:

Laizer, Mollel, Kivuyo, Sirikwa.

Majina machache ya kiume:

Alais
Saitabau
Memus
Loiruck
Meiseyeki
Megiroo
Korduni
Ngilisho
Losieku
Menauru
Lekule
Lepilal
Lowasa
Longishu

Ziada:

Loiba ndoyee
Loota vavit
Le sarge
Lonyor kurum

N.k
Hahahaha lonyor okurum
 
Back
Top Bottom