sasa baba mwenyewe si mmasaai si ampe mwanawe jina we vepee?

Haswaaah! Sawia mkuu.Naam, na ukiona mtu anaitwa OleFulani, maana yake hilo siyo jina lake. Bali ni mtoto wa Fulani.
PenetOle Daby.
Saitoti
Munge
Njolai
Ole mangi
Maura
Sane
Panin
Kibori() itapendeza
Molel
Saitakwet
Lomayani
Lemaasai
Sio guillotine?giloo = glory




hapa umetudanganya.Kwame Nkruma.