Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Slip of keyboard mkuu.
sawa boss
Slip of keyboard mkuu.
hata mimi sijui jinsia yangu ati....
Mie tena I´M IN....you should alwayz count on me...Ngoja nikatafute mparo...na niweke order kwa farkhina kabisa akanipure!!
Kuna vitu vya maana vya kuandika kila kona,
Sasa inakuwaje unatajataja majina tuuu, thread nzima tena kwa vitu visivyo na maana?
Bahati mbaya hakuna kati ya hao ambao nahitaji kufanya hivyo
Halafu siwezi kufanya hivyo ili nikuthibitishie wewe
Nitafanya hivyo kama nahitaji kufanya hivyo na kwa sababu maalum
Halafu unajuaje kama sijawahi kum-PM yoyote humu?
Yule wewe unaedhani ni mgumu kwa wengine ni laiiiiiin kama mtu anakula maini vile
Kwa taarifa yako tu hakuna mwanamke mgumu!
Hilo tunalijua sisi watu wazima!
Watu wanataka wa-drow attention za wadada
Wengine humu ni mijamaa lakini inajidai mijike
Watu unadhani una m-PM dem kumbe jamaa!
Chezea mashavu wewe!
Una uhitaji sana kujua hili mkuu?
Hata hivyo wewe kweli umechanganya rangi!
Unadhani KUMPM mdada humu Jf ni kazi ndogo, tuma PM yako uone, utakuja kujibiwa mwakani tena kwa jibu fupi la dharau "Whois", ukijieleza kama ukurasa mzima hivi, reply ni 2015 tena jibu lenyewe ni "Makubwa!".
Kutuma PM ni kipaji mkuu, angalia usije ukahama JF au ukaja na uzi wa matusi hapa, sasa kitakachofuata ni nini kama sio ban!
CC: nanjilinji, Elli79, Mwanyasi, na wote mnaotaka kujaribu huu mchezo!
King'asti hakika nakumiss ila problem is not me, the problem is you to understand me.
Acha basi kunibania white best!!!!
Mzima mjeda? Have a quality day.
Cha maana ni nini?Haya basi tupe brief account ya historia ya Tanzania kabla ya Uhuru kama kweli upo serious mkuu. Nadhani hicho ni cha maana. Au Tueleze kwa niaba ya JK kwa nini nchi ni maskini na wakati ina rasilimali nyingi?