- Thread starter
- #101
Hao wa mizinga hao umewaonea wengine hawakustahili kuwekwa hapo.
Slip of keyboard mkuu.
Hao wa mizinga hao umewaonea wengine hawakustahili kuwekwa hapo.
Kuna vitu vya maana vya kuandika kila kona,
Sasa inakuwaje unatajataja majina tuuu, thread nzima tena kwa vitu visivyo na maana?
ni kweli itakuwa amechart nao, hayo majina ya mwisho mpaka akajua ni ya kike lol, kuna maswali hapo.
Mi nachotaka kujua ni kwamba haya majina Simplicity umejuaje kama ni ya kike?
Yaani na mimi ni mrembo kwa sababu sijatafsiri hiyo signature yangu kwa kiswahili?Kwanza hebu tafsiri hiyo signature yako kwa kiswahili ili tuelewe wote! Basi na wewe ni mrembo.
Yaani na mimi ni mrembo kwa sababu sijatafsiri hiyo signature yangu kwa kiswahili?
Apology accepted.No, hivyo ni vitu viwili tofauti, kumbe wewe mwanaume. Samahani mkuu.
Hebu badili jina lako kwanza, jiite hata Beyonce!
Apology accepted.
Nataka nije kitofuati leo bana....I´ll surprise you...Uvae High Heels, usisahau ile nguo uliyovaa siku ile au nyingine inayofanana nayo.
kuku kuku tu - jogoo jina.
mwanamke ni mwanamke tu; jina kitu gani?
Sasa si unaona mkuu, kuna vitu kama hivi mtu anaweza kujifunza.Ahsante mkuu. Haya sasa tusaidiane kuandika historia ya kabila letu Wasukumu hapa: Sukuma people - Wikipedia, the free encyclopedia
Huyu naamini kachati nao wote kwa PM kama hatudanganyi hapa. Huyu Simplicity atakuwa kiwembe sana kwa wadada.
Koma weweeeee... mimi ni mwanaume ati... alaaaaaaaaaa