Majina ya Wanawake wa JF

Majina ya Wanawake wa JF

Watu wanataka wa-drow attention za wadada
Wengine humu ni mijamaa lakini inajidai mijike
Watu unadhani una m-PM dem kumbe jamaa!
Chezea mashavu wewe!
Duuu!, yaani mwanaume halafu unajifanya mwanamke!!
This is awkward.
 
Hahahahahahah! Simplicity, una hasira, ghadhabu, mashaka, hofu, ugwadu na mishe mishe kibao hapa Jf, I bet ule mtego wako wa zawadi kwa madada wako ulifeli ( Umeingizwa mkenge na watoto ya mjini), hongera kwa ku opt plan B,

Sema tu unataka kujua kilichojiri, sikuambii ng'o!
 
Ha ha ha ha ha... Lolest!

Nimecheka sana daah, Simplicity una vituko khaaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom