- Thread starter
- #21
Huyu naamini kachati nao wote kwa PM kama hatudanganyi hapa. Huyu Simplicity atakuwa kiwembe sana kwa wadada.
Mawazo potofu.
Huyu naamini kachati nao wote kwa PM kama hatudanganyi hapa. Huyu Simplicity atakuwa kiwembe sana kwa wadada.
Naona mnajipa promo......vzr sana
Mbwembwe zote kumbe mtafutaji!!!!!Nimekumc.
Huyu naamini kachati nao wote kwa PM kama hatudanganyi hapa. Huyu Simplicity atakuwa kiwembe sana kwa wadada.
Kuna wanawake hapa Jf hata kama hatuwajui lakini majina waliyojipa yanatoa taarifa tosha jinsi wao wenyewe walivyo. Nimejikuta nina wakati mgumu kusoma au hata kukomenti au kulike post/thread/topic, komenti, reply ya baadhi ya akina dada au wakati mwingine hunifanya nikomenti kwa hasira, pengine hata off point kabisa.
Yaani nashindwa kuelewa kwa nini hawajui kuwa majina yao yanatoa taaswira na kuwajengea "attitude" wao wenyewe na watu wengine humu negatively au positively!
Ni kwamba mdada badala ya kuwa mbunifu na kujiita jina kama vile:
FirstLady au lara 1 - ambalo linamaanisha kuwa huyu mwanamke ni smart au diplomat, pia mrembo;
queen - linalomaanisha kuwa huyu mwanamke ni mrembo, anatoka katika ukoo wa kifalme, ana hadhi ya juu, mwanamke wa heshima, anayependa kuthaminiwa na mwenye thamani;
Cynthia Chriss, linalomaanisha kuwa mwanamke wa hivi ni mrembo, star, attractive, anapenda kumiliki vitu vya kifahari/luxuries, expensive;
Heaven on earth au Ablessed, linalomaanisha mrembo, mwanamke wa amani, busara na anayeleta baraka na heshima katika nyumba;
ladyfurahia, linalomaanisha furaha, upendo, urembo na uvumilivu;
charminglady, linalomaanisha urembo, ucheshi, upendo na amani;
Amanda na King'asti, yanayomaanisha umbo zuri - namba nane, shingo ya twiga, urembo, mwili/ngozi laini na flexible;
Lady doctor - upendo, usafi, huruma, urembo.
Hii ni mifano tu michache.
Kuna wengine wameamua kujipa majina neutral, huwezi kupata sana picha kuhusu wao mpaka uconnect na vitu vingine, haya majina ni kama vile Asnam, gfsonwin, mdida, mimi49, sister ingawa ni warembo.
Kuna hili kundi la majina yanayoashiria kwamba wao ni magwiji wa mjini na huwaambii kitu, kwamba mjini wamezaliwa kitambo enzi hizo baba zao ni makarani wa wakoloni. Hawa "wanakurebuke" tena wakati mwingine kwa uso wa mbao, kundi hili lina majina kama vile Kaunga, Madame B, MadameX, madameA, Nazjaz, pia wana maumbo mazuri - romantic hot bodies, yaani wakilala na kujiviringisha kitandani utadhani "swirling water".
Kuna hawa wamejipa majina yanayoashiria kwamba wao ni watoto wa viwanja, mfano KOKUTONA, sweetlady, Preta, Chocs, etc., yaani, kama ni mizinga, wanakupiga without limit!
Sasa kuna wanawake kwa makusudi wanaweza kuamua kujipa majina, kama vile mkongojo, MAMAMBAumbau, Chokochoko Ng'andu, fisimaji, MLAUmbwa, Sokomoko, mdomowapaka Nguruwemwitu, MAPAFULUNGS, Kamongo, MZIMU, bulicheka, Songoro, Mbayuwayu, mfugafisi, kiroboto, kibwengo, popobawa, twangapepeta, songombingo, konokono, kinyamkera, wapi na wapi! Yaani list ni ndefu.
Haya majina yanatoa images sio, mpaka mtu unaweza kuhisi huyu mwanamke sijui ni fundi gereji, mchinjaji buchani, mnywa damu za watu, mchawi, baunsa, mgomvi, mfitini, mvuta tumbaku, zombie, hajatulia, yuko shaghalabaghala, yaani hata wakati mwingine inaweza hata kukupa picha labda hajipendi au hajikubali!
Mie kwa kweli kama nataka kuwasiliana na mdada humu Jf kwa njia ya PM lazima nianzie angalau na jina lake kama linaweza kunipa hamasa na guts za kuwasiliana.
Asikuongopee mtu, kuna majina yanakosesha kabisa morali ya kuwasiliana na imani kwamba huyo mwanamke ni mrembo na ana tabia za kike zinazokubalika!
Koma weweeeee... mimi ni mwanaume ati... alaaaaaaaaaaDuh, kuna jingine, hili hapa Myakubanga! Heee Zipuwawa!
Huu uzi ni kwa hissani ya Kongosho (siongei chochote kuhusu jina lako) na Smile. mimi49 leo umeenda wapi?
Huyu Simplicity lazma atakuwa mtu wa pm.. unawajuaje?
Koma weweeeee... mimi ni mwanaume ati... alaaaaaaaaaa