Tumechoka kusubili
Hiyo kazi si ndogo ngoja wadau wakusaidie
Mm nina mdogo wangu ameingia ktk account yake bado imeandikwa not yet processed, eligibility status ameandikiwa eligible ktk programs zote alizochagua na ktk orodha ya wale ambao hawajachaguliwa jina lake pia halipo na hata katika wale wenye mapungufu ya ktk maombi tumeangalia jina halpo pia,sasa kwa kweli tumebaki njia panda, naombeni msaada nn cha kufanya juu ya hili. Ahsanteni sana.