Majina ya walioshindwa TCU!!

Gregory93

Member
Jul 1, 2012
17
2
mbona kwenye profile nyingine kama ya rafiki yangu kunazo selections zote alizochagua kwangu hamna kitu kama hicho nashindwa kuelewa tcu wanamaanisha nini kwa ambao selection status zetu hazipo sasa sijui kwa ambao za kwetu hazionekaniki ndo tuombe second chance or........????:A S 465:
 
ndo ivyo kaka nyie ndo wa second applictn kwangu mimi mambo yana display fresh hata ile view my selection isharudi.!
 
daaa yan hata mi nmelogin ryt now imekubali kuonesha kila kitu yan hawa watu cjui wko vp
 
Jana ulikuwa addmited! leo Iam not addmtted... sawa tu kwa sasabu mi jana sikuwa admitted
 
Kwa habari za kutoka jikoni ni kuwa wale walioshindwa kudahiriwa na tume ya vyuo vikuu majina yatakuwa kwenye mtandao baada ya saa 1. Stay tuned.
Onyo: usinitukane, wait and see! Au piga tcu kupitia 0712722684
 
Asante kwa taarifa mkuu
 
Nilishaambiwa ''You Are Admitted'' so sina wasiwasi ukizingatia matokeo yangu basi raha utamu. Pia thanks kwa taarifa.
 
ka inawezekana kutoa majina ya walioshindwa usahir je walioshnda inashndikana nn?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom