costa doncway
Member
- Oct 5, 2017
- 65
- 17
udom tayar lakn nikscreen shot natumaj?
Na mimi pia nimeona
Unangalia kwenye account yakoWametoa majina?
Hiyo ni 2nd round?....
mdogo wangu kapata udom second round pia
Mimi saut na mweca eamenijubu kwenye account ya chuojamani me sioni kitu,, emb tusaidiane yanapatkana wapii?
Hujawahi kujua tofauti ya direct applicant na equivalents?O level nimemaliza na 2.18 , gpa 4.0 diploma so kigezo na sifa tajwa ninazo. Ila sijajua udom tatizo ni nini kwakweli.
Mweca ipi?Mweca na saut washanijibu kwenye account msaada.wapi kuzuriiii
hapo unacomfirm vp mkuu..