Kibra49
Senior Member
- Jul 19, 2017
- 179
- 47
haina haja ya ku confirm ameshakuwa approved na tcu ku join chuo ichoHuyo mtu hapo jina lake lipo ila hajatumiwa link ya kuconfirm kwenye email yake
haina haja ya ku confirm ameshakuwa approved na tcu ku join chuo ichoHuyo mtu hapo jina lake lipo ila hajatumiwa link ya kuconfirm kwenye email yake
Mh kama ni ivo hyo comfirm iliwekwa kwaajili ganihaina haja ya ku confirm ameshakuwa approved na tcu ku join chuo icho
io ni kama umetokea kwenye multiple selectionMh kama ni ivo hyo comfirm iliwekwa kwaajili gani
io ni kama umetokea kwenye multiple selectionMh kama ni ivo hyo comfirm iliwekwa kwaajili gani
Kwaiyo had hapo dogo amepenya sioio ni kama umetokea kwenye multiple selection
ndio mzeeKwaiyo had hapo dogo amepenya sio
Owk ahsante mengine atayatafuta mwenyewendio mzee
poapoaOwk ahsante mengine atayatafuta mwenyewe
Zote ni nzuri mkuu,ingawa watakucheka ukienda nutrition ila faida ni kubwa sana kwa hiyo courseWakuu naombeni ushauri..Human Nutrition SUA Vs Urban and regional planning ARDHI..
DASHBOARD inaonesha niapply 3round ila asaivi nimeangalia majina nipo selected without multiple selection udom thank you jesus christ huwez amini nlishaapply naisi yanaweza kua matatizo ya mtandao![]()
Msaada wakuu dogo ameandikiwa hivi ..sasa inakuaje hapo
maelezo zaid mkuuZote ni nzuri mkuu,ingawa watakucheka ukienda nutrition ila faida ni kubwa sana kwa hiyo course
Daah ilikua kama hivyo na ww?NA MIMI
DASHBOARD inaonesha niapply 3round ila asaivi nimeangalia majina nipo selected without multiple selection udom thank you jesus christ huwez amini nlishaapply naisi yanaweza kua matatizo ya mtandao
ndio ad now ipo ivyo na nshafanya iyo third round sema usingizi haukua unakuja nkaona si dhambi kupitia web ya udom kuchambua kimoja kimoja ndo nkakutana na hayo majina na langu likiwemoDaah ilikua kama hivyo na ww?
tuambiane jamani kama yatatoka ili tujue tunaconfirm wapiNaisubri hyo piaa