Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2nd round

Ila mkuu vigezo si vipo poa lakin kuanzia cheti cha form 4, AVN na GPA ?
habari yako mkuu, kama nilivyochangia kwenye uzi wako 'mara paaap 3rd round hiyo' . Ni kwamba inaonekana Udom walituweka pembeni waombaji wote wenye eqv qualifications. Sasa sijui tatizo ni nini, ni bora wangesema mapema kuwa hawatutaki ila sio kuchukua pesa zetu na kutuchinjia baharini. Lakini tusikate tamaa, Mungu atatenda round hii ya pili na tatu. Tumtumainie yeye.
 
Hivi 3rd round wametoa mda wa kuomba tena?
Na je n kweli SUA tear?
 
Taarifa ya TCU imetoka jana saa sita mchana, lakin mpaka muda huu hakuna chuo kilichothubutu kutoa selection ya round ya pili au ndo tumekosa sote tulioomba raundi ya pili?
 
Ubaya wenyewe vyuo naona kama vinawazarau waliomba 2nd round itakua
Sio hicho tu, yani equivalent qualification tunaonekana kama hatuna uwezo/akili, ie. tumepita njia isiyo halali ndo maana hata mhe. fulani alitoa povu siku zilizopita. Cha kujiuliza ni kwanini wauweke mfumo huu kama hawataki tujiendeleze kielimu??
 
Basi na waufute, kuna wengine wamelia kutokana kuwa kasoma 2 yrs then anaambiwa course haitambuliki.
 
me nawasikilizia udom tu hapa.. ila mpaka mda huu naona bado siwaelewi
 
Back
Top Bottom