Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,180
- 6,363
SUA tayari wakuu
Naisubri hyo piaaUdsm multiple hawajatoa?
tayari mzeeNit vp wakuu
Iv inawezekana ukachaguliwa halafu wasikutumie taarifa kwenye email?tayari mzee
sharko kaka uO level nimemaliza na 2.18 , gpa 4.0 diploma so kigezo na sifa tajwa ninazo. Ila sijajua udom tatizo ni nini kwakweli.
ndio wanaweka kwenye site yaoIv inawezekana ukachaguliwa halafu wasikutumie taarifa kwenye email?
Nifafanulie kidogo hapo mkuundio wanaweka kwenye site yao
cheki ioNifafanulie kidogo hapo mkuu
Huyo mtu hapo jina lake lipo ila hajatumiwa link ya kuconfirm kwenye email yakecheki io