Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2nd round

7920b1e23380feec4ed778fdb48eb182.jpg
c7eb58557e50085253ce45c976ff35d3.jpg

Hyo ya kwanza uki bofya click here inatokea hyo ya pili
angalia kwanza application status yako
 
Hapana sio mie kuna huyu sharko ndo alikua anasema
Ok mwambie aangalie o level alifanya nn,wanataka pass 4 au 3 tatu tena zinazoendana na course unayoomba sasa,kwamfano kwa course ya biashara hana budi kuwa na c ya math ukichanganya na mengine yanayoendana na iyo course, sio awe na c's au d's za history au kiswahili akarajia kupata course anayoitaka,
 
O level nimemaliza na 2.18 , gpa 4.0 diploma so kigezo na sifa tajwa ninazo. Ila sijajua udom tatizo ni nini kwakweli.
 
O level nimemaliza na 2.18 , gpa 4.0 diploma so kigezo na sifa tajwa ninazi. Ila sijajua udom tatizo ni nini kwakweli.
Acha tuangalie uteuzi unaendaje ila tutashinda
 
O level nimemaliza na 2.18 , gpa 4.0 diploma so kigezo na sifa tajwa ninazi. Ila sijajua udom tatizo ni nini kwakweli.
Ok pole sana mkuu,but MUNGU ndo anaepanga so huna budi kuomba MUNGU na naamini inshaallah utafanikiwa and pia jaribu kuomba na sehem nyingine mana wewe unapanga na MUNGU anapanga zaidi,kila la kheri mkuu,
 
Back
Top Bottom