Majina ya wagombea Ubunge jimbo la Kinondoni yatoka, Mgombea wa UKAWA akatwa

mzushi

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
3,094
4,251
Jimbo la Kinondoni, UKAWA tumechomolewa.Hizi mbinu chafu mpaka lini?

CCM.jpg

Hii fomu ya Mgombea Ubunge wa CUF ( UKAWA ) imesainiwa na karani wa mahakama badala ya Hakimu. Ndio maana jina la Hakimu halikuandikwa. Ni kosa kisheria..Na ndiyo sababu ya mgombea huyo wa UKAWA Kuenguliwa.

View attachment 280136

Kutoka kwa Kado Cool
 
Hii fomu ya Mgombea Ubunge wa CUF ( UKAWA ) imesainiwa na karani wa mahakama badala ya Hakimu. Ndio maana jina la Hakimu halikuandikwa. Ni kosa kisheria..Na ndiyo sababu ya mgombea huyo wa UKAWA Kuenguliwa.

Karani.jpg

Kutoka kwa Kado Cool
 
Viongozi wa UKAWA watuombe radhi wananchi kwa kutuuza dakika za mwisho.!
 
Yaani jimbo ambalo ofisi ya Chadema Taifa ipo hakuna mgombea??

Wana sheria wanafanya nini Sasa?
Huo ndo mpumbavu!!

Nao Act chalii!!
 
Kuna haja sasa ya kurekebisha kanuni za NEC kutoruhusu mgombea kuondolewa kwa kasoro ambazo zinaweza kurekebishwa otherwise huo unakuwa siyo uchaguzi bali ni mbinu za kupitisha watu kwa mizengwe.

Si walisema viongozi ndo watasimamia ujazaji form????
 
Hapo inabidi tutafute mgombea mwenye msimamo tumuunge mkono, laiti ingekuwa ni Segerea tulikokuwa na wagombea wawili.
 
Kama ni mtu makini,kwann afanye makosa ya kijinga ktk masuala muhimu,hii inaonesha hata angepata uongozi,asingeweza kuwa serious,msitee uzembe...
 
Back
Top Bottom