Majina Ya utani ya Utotoni

Majina Ya utani ya Utotoni

Aquatic

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
716
Reaction score
270
Jamani Utotoni kuna vituko..mpaka unakua ni mambo mengi na vituko vingi tumepitia,mojawapo ni majina tuliyokuwa tunatungiana kwa jinsi mtu alivyo au kwa kituko alicho fanya na majina mengine hadi leo yamedumu mimi kwa leo na kuletea baadhi ya majina ya marafiki zangu pamoja na mm enzi za utoto nawe ukipata wasaa tupia lako..
1.Kashiba andazi
2.Sudi nyodo
3.Njino za panya
4.Chogo chuma
5.Bata
6.Makunde
 
Alibobo alikuwa na mtulinga
Asha K alikuwa na bonge la bumunda
kiten huyu dada ulikuwa ukimpa sh kumi tu unakula mzigo bythen 1985 hv
 
Ufudu-m alikuwa na bonge la mdomo
Panga la shaba- kakomaa mbaya
Nyaloo- Kichaa wa arusha alikuwa anapiga vibao kama nyani
 
Ufudu-m alikuwa na bonge la mdomo
Panga la shaba- kakomaa mbaya
Nyaloo- Kichaa wa arusha alikuwa anapiga vibao kama nyani

Ha ha haaa mkuu suri
Umenikumbusha mbali sana, huyo jamaa wa mwisho hapo alikuwa anaitwa amisi nyaloo, jamaa alikuwa ana nguvu za mikono ile mbaya.. Akikukamata hautoki mkononi..
 
kisieni jina la diamond platinum utotoni..

..... jina la wema

... jina la jb

.. jina kanumba

... jina la kikwete jakaya

... jina la daudi balali

... jina la dadudi balali

... jina la lowassa

... jina la wassira... mmh!!

... jina la kingunge ngombale mwiru..!

.. jina la julius kambarage nyerere..

... jina la sumaye...
!
!
 
Mi Nyumbani nilikuwa naitwa Mbavu mbili, shuleni Nyagagwahase au Babu, nilikuwa naonekana nimekomaa kabra ya wakati. walikuwepo pia Umoja wa vijana, Zee la kisiwa, Jitu la kumsitu, Msagemsage, DJ machacha, Sipika ya kwafau. ISENGA P/SCHOOL MWANZA
 
Mtoto wa MGANA MSINDAI mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM. Sami Musindai, a.k.a(Samy) tukiwa (std.v) tukisoma somo la Jiografia. akawa anasinzia mwalimu alipo mubaini akamuita we Sami yeye akakurupuka na kusema Bonde la ufa. akawa bondela ufa. ISENGA P/S
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom