Majina ya kike yaliyonivutia 2015

Majina ya kike yaliyonivutia 2015

humu tumepigwa marufuku kuonana, kuna siku nilijarbu tu kusema natamani kumuona yeyote nikatukanwa mno
hapo ulikuwa unajijaribu mwenyewe, ungekuwa na uhakika na kile unachokitaka ungefanikiwa.
 
Hahahahaaa popoma rudi basi na ile ID yako ya dawa jamani?
Au ban haijaisha?

kuna moja ya kujenga na nyingine ni ya kubomoa kama vile ilivyo kwa vyama vya siasa vya nchini Marekani ambapo Republican ni wazee wa " fujo " na " kulianzisha " wakati Democrat ni wazee wa " kujenga " na " kutuliza " hivyo kaa ukifahamu kuwa Sheikh ni yule yule ila tofauti ni Kanzu tu.
 
Back
Top Bottom