Majina ya kike ya Kisukuma

Mashita, nyanzige, nyanzobe, limbe, munde, winga, kulwa, mkula, shingwa, kapemba etc
 
Binafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa....

Limi
Misoji
Mihayo
Kabula
Kudahwa
Nsungi
Nana...........
Kaundime
 
Kumbe wamo wengine humu sawa ndugu zangu. Ngwalu, Kweji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…