Thunder legs
Member
- Jan 2, 2016
- 74
- 62
Mahuvi
Msumange
Kibasa
Kinyunyu
Mnyavanu
Mfalingundi
Tendega
Mbata
Mveyange
Mkwawa
Kalinga
Kalolo
Mwamuhindi
Mgovano
Kikoti
Mkeremi
Lukosi
Kiteve
Lukuvi
Mgimwa
Balali
Msola
Mwamoto
Mgata
Mhina
Mwanagwemtibu
Mgina
Mfalingudi
Segesela
Kasuga
Luhigo
Kitime
Nyadwike
Kiwanga
Masasi
Mpangala
Magova
Nyaulingo
Mgaya
Mdendemi
Nziku
Lugenge
Mlowe
Nyaulile
Mgongolwa
Luhwago
Mwigani
Kihwele
Matimbwa
Mdegela
Madembwe
Ngede
Kulanga
Ng'ingo
Nyenza
Semtema
Mhavile
Mtivike
Mnyenyelwa
Mbugi
Mdete
Mdesa
Kihongosi
Mfwalamagoha
Balama
Kikove
Mwamuyinga
Mkwavinyika
Malipula
......
Waendelee wengine
Hapana mkuu!, Mimi ni mkinga, ila ndio hivyo tena nimezaliwa Na kukulia iringa town.Wewe ni Mhehe wa ukweli kabisa
Segite Mnofu ndi ndi ndiNdili mnofu segito
Hahahaha everhurt najua hujui umenipiga chaboSegite Mnofu ndi ndi ndi
Mzee hata wewe umechanganya haya majina. Uliyoorodhesha hapa ni ya Wabena, Wapangwa na Wakinga. Pia akina Mayemba ni Wangoni.Mkangafu ni pombe ya ulanzi iliyokomaa,delega ni mboga ipo fulani hivi inateleza kama mrenda,nyadogi nayo mboga huyo jamaa muongo.hapo angesema lupembe,mchami, mkalawa ,mayemba,chambaga,luvanga,nyudike,kihaka,mwajombe,mpogole,lugenge,kilasi,sangamela,msemwa,mbilinyi.mtweve,sanga,etc
Kama yapi mkuu? Unajua wanyakyusa wana mwa... na watu wairinga wana mwa.. nashukuru nimebahatika kuitembelea mikoa yote miwiliMbona mengine ni kama ya jirani zao wanyakyusa
Kuna unajua jamii ya iringa ilikuwa kubwa sana mkuu na walikuwa wanaingiliana makabila so usishangae kumkuta mkinga yupo pale dabaga na mhehe yupo makete huko.Mzee hata wewe umechanganya haya majina. Uliyoorodhesha hapa ni ya Wabena, Wapangwa na Wakinga. Pia akina Mayemba ni Wangoni.