Majina ya Bar bwana..

Bar zote zinazoitwa ****** bar hupewa na wateja ila kwa uzoefu wangu huwa zina majina mengine ambayo ndo huwa katika bango!!!kiufupi ****** bar ni majina ya utani wateja huyaita...mfano arusha night park a.k.a ****** bar ipo arusha maeneo ya mianzini kama sikosei
 
Mamod wako fasta kuweka nyota nyota!!!lol
MAPROSOO.
 
Hata gest house hawapo nyuma katika majina, unaijua OKOKA LEO GEST HOUSE ipo maeneo ya buza
 
Simba kapakatwa.. mmh kuna namna hapa, mmiliki yanga nini?

Na kuna simba kachorwa huku akiwa kapakatwa na kandambili!

Wajua,Breakpoint,wateja wake wengi ni wapenzi wa Simba hasa Friends of Simba.. So labda,ndipo ilipozaliwa hiyo SK pub..
 
' sebuleni' hili jina hutumiwa na wanywaji wanaopenda kunywa bar za karibu na wanapoishi.
 
Fyatanga Bar pia kuna nyingine ipo pembeni ya Zero Tegeta yaitwa IF NOT WHY NOT BAR.... Bila ya kusahau WHO TOLD YOU BAR Tegeta Ma~site.
 
Back
Top Bottom