Majina saba yaipa kamati kuu ya CCM wakati mgumu

Majina saba yaipa kamati kuu ya CCM wakati mgumu

Ni kwamba wakristu wamedhamiria kutomchagua rais muislamu tena. Wamegundua Kuwa si tu waislamu

wengi hawajui kuongoza isipokuwa wanasabisha pia upendeleo katika ajira kwa waislamu wenzao.pia mahali popote katika ofisi za utumishi wa umma akiwepo muislamu hata kama ana cheo kidogo anajitutumua sana.
Kumetokea mifarakano katika sehemu mbambali kati ya jamii zilizokuwa zinaishi kwa amani kwa sababu tu rais ni muislamu.

Hebu nitajie mkristo anaejua kuongoza.. Na yale majizi ya Escrow mbona yote ni makristo?
 
Haya ni maoni yako binafsi au ni kwa mujibu wa nini?
G Sam

nijuavyo ni kwamba majina ya mwisho yatakayopitishwa ili wauwane wenyewe huko mbele hadi tumpate mmoja ni:

  • dr. john magufuli
  • professor sospeter muhongo
  • makongoro nyerere
  • jaji mstaafu augustino ramadhani
  • professor mark mwandosya
na wenye nafasi kubwa kuteuliwa kushika nchi ni kati ya dr. magufuli na professor muhongo huku kati ya makongoro au jaji mmoja akiwa mgembea mwenza. hao wawili tajwa ndiyo mamba lakini waliobaki ni kenge watupu ambao lazima wawepo karibu na mamba.
 
Nadhani huu bado ni mtazamo na utabaki kama ulivyo ila wakati utatuambia nani ni nani?
 
Lowassa atazimika kwa stroke

Huo ndo ukweli Mkuu. Mategemeo makubwa aliyonayo yeye na team yake lazima yalete majanga. Hao friends zake wanaomwaga pesa hivyo lazima pia watapata mild strokes as well.
 
Ni kwamba wakristu wamedhamiria kutomchagua rais muislamu tena. Wamegundua Kuwa si tu waislamu

wengi hawajui kuongoza isipokuwa wanasabisha pia upendeleo katika ajira kwa waislamu wenzao.pia mahali popote katika ofisi za utumishi wa umma akiwepo muislamu hata kama ana cheo kidogo anajitutumua sana.
Kumetokea mifarakano katika sehemu mbambali kati ya jamii zilizokuwa zinaishi kwa amani kwa sababu tu rais ni muislamu.

haa haa kwa hiyo huyo rais mkristo anakwenda kuwafukuza kazi waislamu ama...
 
Alitekutuma kupima kina cha maji kamwambie tupo tayari kuona ccm inakufa ila lowasa awe Rais. ..watanzania hatutaki kuchezewa ngoma akilini mwetu tena we are tired. ..nakujua mleta mada wewe ni ant-lowasa(namaanisha umpend lowasa)kulingana na thread zako nyingi ila jua kwamba watanzania wengi hawaitaki ccm ila wanamtaka lowasa kama ccm itaamua kulitambua ilo itasalimika isipolitambua ilo itakua historia kama KANU

haa haa lowasa ameupania urais sana. anawatisha ccm wasipompa anasambaratisha chama. duh...
 
Haahaaaaa....Lowassa atawaua mwaka huuu....umeacha jina la Lowassa makusudi ili kujenga taswira kwamba sio tishio..unaumwa kweli...as well umejenga picha Membe ataachwa sbb anagawa wana CCM, ili kujenga hoja kuwa Lowassa anafanya hivyo.. !!!

Labda hujui siasa, kipindi hiki LAZIMA MAKUNDI YAWEPO....ni Lazima, sbb kila mtu ana mgombea wake, SO KILA MMOJA ANAMPIGAMIA MGOMBEA WAKE....lazima makundi yawepo...na ndio maana ya UCHAGUZI, KILA MTU ANACHAGUA KUTOKANA NA MTU ANAYEMUAMINI, tayari kuna makundi hapo sbb ya uchaguzi...HATUWEZI KUWA KUNDI MOJA WOOOOOOTE, basi itakuwa hakuna maana ya kuchagua...!!!! MAKUNDI NI LAZIMAAAA kwa sasa....baada ya uchaguzi automatically yatapotea...!!!
 
Mkandara leo umekwenda "straight" to the point na kwa maneno machache ambayo yamekufanya ueleweke kuliko yale makala yako mareeeeeefu unayotuandikia humu mpaka wewe mwenyewe unajichanganya.

Uendelee hivi hivi kuwa short and clear utaeleweka vizuri sana kuliko ile style yako ya kubwabwaja bila mpango.

Hongera kwa ku "improve".
Kwani mwenye tatizo miye? Wazungu wanasema ukitaka kumkwaza mtu ujumbe uweke kwenye kitabu! sisi hatupendi kujisomea na hii imeathiri hata elimu yetu maana tunataka udaku na kupiga domo - tujifunze, JF sio Instagram!
 
Lowasa hana sifa huyo hawatangaika naye kabisa
 
G Sam

nijuavyo ni kwamba majina ya mwisho yatakayopitishwa ili wauwane wenyewe huko mbele hadi tumpate mmoja ni:

  • dr. john magufuli
  • professor sospeter muhongo
  • makongoro nyerere
  • jaji mstaafu augustino ramadhani
  • professor mark mwandosya
na wenye nafasi kubwa kuteuliwa kushika nchi ni kati ya dr. magufuli na professor muhongo huku kati ya makongoro au jaji mmoja akiwa mgembea mwenza. hao wawili tajwa ndiyo mamba lakini waliobaki ni kenge watupu ambao lazima wawepo karibu na mamba.

Mkuu lazima mgombea mwenza atokee z'bar
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom