The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,857
- 18,706
CC ya CCM wanajua wenyewe ila nimedokezwa kuwa wameangalia kile walichokiita 'kijana mahiri'
Ila PM na heshima zake kujiingiza kwenye kinyang'anyiro halafu atemwe awamu ya kwanza ni aibu kwa CCM na Kikwete!!