GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,658
- 128,078
Mkuu lazima mgombea mwenza atokee z'bar
unauhakika huyo wa zanzibar katika hiyo list hayupo?
Mkuu lazima mgombea mwenza atokee z'bar
Kwani mwenye tatizo miye? Wazungu wanasema ukitaka kumkwaza mtu ujumbe uweke kwenye kitabu! sisi hatupendi kujisomea na hii imeathiri hata elimu yetu maana tunataka udaku na kupiga domo - tujifunze, JF sio Instagram!
Ana nguvu sana Jimboni kwake huyu mtu!haa haa huo ni ukweli mkuu.nasikia pale mtama ingawa wananchi ni masikini lakini ccm imetamalaki...
Majina saba ya watia nia ya urais kwa tiketi ya CCM yameonekana kuipa wakati mgumu kamati kuu ya CCM itakayoanza kukaa kwa ajili ya mchujo mwishoni mwa mwezi huu, imefahamika.
Majina hayo yameanza kujadiliwa miongoni mwa wana kamati hiyo kuu ambayo ni Dr. Salim Ahamed Salim (anayetarajiwa kuchukua fomu jumatano), Makongoro Nyerere, Prof. Mark Mwandosya, Mizengo Pinda, January Makamba, Benard Membe na John Magufuli
Hata hivyo jina la Benard Membe linatarajiwa kutoa upinzani mdogo kwa wana kamati kwani ameelezwa kutumia mitandao ya watu kukigawa chama.
Kamati kuu ya CCM imatarajiwa kupitisha majina matano tu hivyo kuhitajika kuwaondoa majina mawili.
Wana-CC kadhaa wamenukuliwa kuwa hata rais Kikwete haoni haja ya kumuunga mkono Membe ili kukwepa kunyooshewa kidole siku za usoni hivyo kuipa kamati hiyo kuu urahisi wa kukata jina la Membe kwa kigezo cha makundi.
Hata hivyo Membe ameanza kampeni za chini kwa chini kugombea ubunge wa jimbo la Lindi mjini baada ya kuahidiwa cheo kikubwa na mmoja wa wanaopigiwa chapuo kufika mbali kwenye vikao vya mchujo baada ya kuonyesha nia ya kumuunga mkono.
Mkuu, dr. Salim anachukua fomu jumatano na huenda akafika mbali sana! Muwe munatuamini sisi wengine maana kuna muda tunaamua kutumia hadi gharama ili mradi tujue kinachoendelea na kuhabarishana humu!
Thread ya kipuuzi sana hii
Hizo tetesi zako kweli ziko baseless na ni empty rhetoric. Huwezi taja majina either ya kukatwa or yakupitishwa ndani ya CC bila kutaja jina la Edward Lowassa. Huyu ndie mgombea ambae anaongoza kwenye opinion poll zote nchini ambazo zimefanywa na independent organisations. Kana kwamba haitoshi bado yeye ndio mtia nia anaeongoza kwenye opinion poll ambayo chama cha CCM kili commission an independent body kifanye tafiti kuhusu mtu anaekubalika zaidi ndani na nje ya chama.
Sasa ukitaja majina saba na ukaacha jina la Lowassa tayari hizo tetesi zako zinakua baseless with no logic.
ahahaha! wasoma kwa ladha basi nitaweka fanta ndani yake!...nimesema siandiki kwa kukushibisha wewe bali hutoa mawazo yangu juu ya hoja iliyopo. Talking of insight please nakushauri skim first you ain't an in depth reader. Besides you're not alone, most of you folks have lower comprehension, 'cause your minds are preoccupied with recognizing on which side I stand..Mnaandika na kusoma kwa ushabiki insight utaiona wapi?Zile porojo ndefu huelewi kuandika kwake, unakuwa hauna ladha ya kusomwa. Kuandika ni art na the longer you write the deeper the insight you need to possess, of which you lack.
Ni ushauri tu kwako, andika maandiko mafupi to the point.
g sam
nijuavyo ni kwamba majina ya mwisho yatakayopitishwa ili wauwane wenyewe huko mbele hadi tumpate mmoja ni:
na wenye nafasi kubwa kuteuliwa kushika nchi ni kati ya dr. Magufuli na professor muhongo huku kati ya makongoro au jaji mmoja akiwa mgembea mwenza. Hao wawili tajwa ndiyo mamba lakini waliobaki ni kenge watupu ambao lazima wawepo karibu na mamba.
- dr. John magufuli
- professor sospeter muhongo
- makongoro nyerere
- jaji mstaafu augustino ramadhani
- professor mark mwandosya
ahahaha! wasoma kwa ladha basi nitaweka fanta ndani yake!...nimesema siandiki kwa kukushibisha wewe bali hutoa mawazo yangu juu ya hoja iliyopo. Talking of insight please nakushauri skim first you ain't an in depth reader. Besides you're not alone, most of you folks have lower comprehension, 'cause your minds are preoccupied with recognizing on which side I stand..Mnaandika na usoma kwa ushabiki insight utaiona wapi?
Kwenu siku zote JF ni Uadui na ushindani, CCM vs CDM - Uisaam vs Ukristu yaani bado mna mila na desturi za mababu hambadiliki. Hii mada inahusu majina saba ya wagombea, wewe umeshuparia Mkandara kila napokukamata pabaya kwa hoja hukosi kujitetea ati unashindwa kufuatilia porojo ndefu, ilihali walonisoma wamenielewa! sipo hapa kukiridhisha wewe Ain't Casanova!
Serekali inashidwa kuwajibisha watendaji wanaofanya makosa kwasbb ya kuweka marafiki kwenye nyazifa mbalimbali na sshv wengine wameishaanza na makundi yao wanasaidiana kwa lengo hilo, lkn pia ilo limesababishwa na baadhi ya viongozi kuwa na uwezo mdogo wa kuongoza ndo maana wanatafuta makundi,lkn adi sasa mtu pekee anayejiamini kwa kila anachokifanya ni magufuli,kumpitisha sio nini bali uwezo wake anaohuonyesha kwa kila anachokifanya,
Hizo tetesi zako kweli ziko baseless na ni empty rhetoric. Huwezi taja majina either ya kukatwa or yakupitishwa ndani ya CC bila kutaja jina la Edward Lowassa. Huyu ndie mgombea ambae anaongoza kwenye opinion poll zote nchini ambazo zimefanywa na independent organisations. Kana kwamba haitoshi bado yeye ndio mtia nia anaeongoza kwenye opinion poll ambayo chama cha CCM kili commission an independent body kifanye tafiti kuhusu mtu anaekubalika zaidi ndani na nje ya chama.
Sasa ukitaja majina saba na ukaacha jina la Lowassa tayari hizo tetesi zako zinakua baseless with no logic.
ahahaha! wasoma kwa ladha basi nitaweka fanta ndani yake!...nimesema siandiki kwa kukushibisha wewe bali hutoa mawazo yangu juu ya hoja iliyopo. Talking of insight please nakushauri skim first you ain't an in depth reader. Besides you're not alone, most of you folks have lower comprehension, 'cause your minds are preoccupied with recognizing on which side I stand..Mnaandika na kusoma kwa ushabiki insight utaiona wapi?
Kwenu siku zote JF ni Uadui na ushindani, CCM vs CDM - Uisaam vs Ukristu yaani bado mna mila na desturi za mababu hambadiliki. Hii mada inahusu majina saba ya wagombea, wewe umeshuparia Mkandara kila napokukamata pabaya kwa hoja hukosi kujitetea ati unashindwa kufuatilia porojo ndefu, ilihali walonisoma wamenielewa! sipo hapa kukiridhisha wewe Ain't Casanova!
Hapo pamekaa sawa! Sioni hata mmoja ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. CCM wakiamua kumchinja mtu wanatumia kauli kama vile sasa ni zamu ya wanawake; basi unakosa sifa na huwezi kujigeuza jinsia. Mzee Sitta analikumbuka hili. Sasa zamu hii ni kwamba wale waliowahi kuwa Mawaziri wakuu wanaishiaa Kamati Kuu! Naona Dr. John Pombe Magufuli akipenya na kuipeperusha bendera ya CCM. Ana mtaji wa wananchi. Siamini kama ana mtaji ndani ya Halmashauri kuu lakini tapenya kwa ile kauli ya Mwenyekiti kwamba wanataka mtu anayekubalika kwa wananchi; Magufuli anakubalika.G Sam
nijuavyo ni kwamba majina ya mwisho yatakayopitishwa ili wauwane wenyewe huko mbele hadi tumpate mmoja ni:
na wenye nafasi kubwa kuteuliwa kushika nchi ni kati ya dr. magufuli na professor muhongo huku kati ya makongoro au jaji mmoja akiwa mgembea mwenza. hao wawili tajwa ndiyo mamba lakini waliobaki ni kenge watupu ambao lazima wawepo karibu na mamba.
- dr. john magufuli
- professor sospeter muhongo
- makongoro nyerere
- jaji mstaafu augustino ramadhani
- professor mark mwandosya