Majina saba yaipa kamati kuu ya CCM wakati mgumu

Majina saba yaipa kamati kuu ya CCM wakati mgumu

Mkuu nijuavyo mimi kule ukawa ndiyo kunakenge kibao moja lipo ulaya kwa sasa na jingine litatangaza nia jumapili zee la kupayuka.

Mods wa hili jukwaa ndo mshaanza weekend au vipi????....Huyu panic zake zinamfanya ajitoe akili na nyie mnamtizama tu...
 
Lowassa hana sifa wala uwezo hivyo bora ajitoe mapema na kumpa nguvu Janauary maana ndiye pekee alokuwa na plan B. Tatizo la January ni pale atakapokubali kuungwa mkono na Lowassa! picha itamgeuka..
 
Katika hao saba, anayekatwa ni magufuli na makamba kwa sabbu hawana washereheshaji wengi na kwa ccm haina kigezo zaidi ya chereko chereko nyingi labda na sura nzuri!.
 
Mkuu, dr. Salim anachukua fomu jumatano na huenda akafika mbali sana! Muwe munatuamini sisi wengine maana kuna muda tunaamua kutumia hadi gharama ili mradi tujue kinachoendelea na kuhabarishana humu!

Akipita huyo serikali tatu zaja, huyo ndio wa kuiokoa ccm, hakuna Mwengine.
 
Ninavyomuomba Mungu maono yangu yatimie
Mgombea Urais Tiketi Ya CCM Ni Charles Makongoro Nyerere
Mgombe Mwenza ni Salim Ahmed Salim

Wakibeba Serikali Waziri Mkuu =Pombe John Magufuri.
Ukibisha kamuulize Mungu ninaye muamini Mimi.
 
nimechukua mda wa kusoma comment zote nimewahi kua katika uchaguzi wa mwinyi na mkapa na kikwete sasa ila kwa sasa wasipomuweka lowasa nchi inaenda kwa ukawa na wana ccm watafanya hivyo kumuadhibu mwenyekiti wao anayemaliza mda wake lakini ccm hawatasubutu kuchezea shilingi chooni.....!
asante
 
Mhhhhhh! Kama hii ni kweli basi hii litasababisha mstuko mkubwa kwa wagombea wengine wote kwenye huu utitiri wa wagombea.
Hizi ndoto zinatoka wapi? Salum Ahmed Salum hagombei urais na hana mpango kabisa. So from word go your if is full of lies
 
Mamvi atayumbayumba na kizunguzungu kisha pwa. Why so energy and watering money like that mabutu sese seko soko wa zobanga go home.
 
Kama itakuwa ni DR.SLAA NA Dr.Salim kura yangu sijui ntampa nani coz wote nawakubali
 
Back
Top Bottom